Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mzee unataka tujiexpose humu?!,I've been around the world!Alhamdulillah!!. Pole sana!!!Umekula lkn?!Au uko na strungi tu hapo toka asbh!!!!.
 
Mzee unataka tujiexpose humu?!,I've been around the world!Alhamdulillah!!. Pole sana!!!Umekula lkn?!Au uko na strungi tu hapo toka asbh!!!!.
Hawa jamaa sijui huaga wanafikiria Sisi level Yao au? sometimes huaga naona post zao nacheka Sana nimashawambia mara nyingi wabongo tunasafiri Sana tuna exposure kuliko nchi yoyote Ile East Africa sababu tuna huo uwezo sasa majirani zetu wengine hata kutoka nje ya Nairobi au mikoa Yao na kwenda mbali ni mtihani.
 
Shukrani kwa kumuelewesha huyu boya!!!! Sasa vitu kama hivi mnataka tunyamaze?!

Si kwamba nadharau nguvu na pesa iliyotumika kusimamisha majengo yenu Wakenya ila muache kukopi kopi mbona KICC mlipatia na imebakia alama maisha yote!
 

Kama hiv kweli?!! Empire State Building jengo la kihistoria!Nimeshangaa pia mna statue ya Rio duh!
 
😂😂😂 Ni tofauti kama mbingu na Ardhi, utopolo
 
Mzee unataka tujiexpose humu?!,I've been around the world!Alhamdulillah!!. Pole sana!!!Umekula lkn?!Au uko na strungi tu hapo toka asbh!!!!.
Sasa hiyo exposure yako ndio imekuonyesha Bongo mko juu na hizo BRT & SGR yenyu? Utakuwa umeenda Somalia ama Syria wewe! 🤣 🤣 🤣
 
Wataka kupangia wenye mjengo, hela yao watakavyoitumia? 😂 😂 😂 😂 Wewe boya kweli, kwani nilazima ajenge mtakavyo, vichwa maji kweli!, 🥴
 
View attachment 1824541
Kama hiv kweli?!! Empire State Building jengo la kihistoria!Nimeshangaa pia mna statue ya Rio duh!
Kajinyonge sasa 👇

1-Eiffel Tower ya France ina replicas - China, America, Germany, Pakistan, Russia nk...

2-The Maryhill, WA Stonehenge is a full-size, astronomically-aligned replica of Stonehenge located in Wiltshire, England.

3-China’s 'Fake' Cities Are Eerie Replicas of Paris, London and Jackson Hole, Wyoming. Many places where people live are replicas of other major cities in the world.

4-Replica of Mount Rushmore (Chongqing, China). The famous faces of the four American Presidents carved into Mount.

5-St Peter’s Basilica -- Nikko, Japan. Tobu World Square theme park in Nikko, Japan features 102 famous architectural and historic sites, all replicated at a 1/25 scale.
 
Wakenya ni wachovu wa akili huoni walikopi brt ya bongo wakaangukia corridor
 
Nmejua kunyamazisha wadanganyika [emoji23][emoji23][emoji382][emoji382][emoji382] mataga
Mashashola the silencer of lazy, foolish ugly danganyikans
Ingekuwa vizuri huyu asirudi humu cz ana chuki za kishamba sana na anadharaulisha taifa lake, mods km itawezekana mkiona ID yenye muandiko huu piga ban, hawezi ku debate Wisely.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…