Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unajifanya chizi sio, nioneshe wapi nimekuletea hizo picha hapo juu nifunge account ama ndo unatafuta pakutokea 🤣🤣🤣🤣🤣
Umesema hapa ni wapi??🤣🤣👇👇👇
F7E28285-8440-4818-8C06-B0BD42277A60.jpeg
 
Two years old girl dying from starvation in Tanzania ...


Malnutrition makes the immune system less resistant to common diseases and contributes to about 130 child deaths of children every day in Tanzania.

Tanzania has one of the world’s highest rates of chronic malnutrition. Measured as stunting (when children are too short for …)

consequences of malnutrition should be a significant concern for policymakers in Tanzania, where 34 percent or 3.3 million children under 5 years suffer from chronic …

Kila mwaka lazma njaa iwaondoe 👇👇




 
Hii ndio Magomeni tunapigiwa nayo kelele hapa eti iko na density. Sijui anamaanisha density ya uswazi ama nini
View attachment 1821491View attachment 1821492View attachment 1821493View attachment 1821495View attachment 1821496
Linganisha hiyo Magomeni na Eastleigh below in density in terms of high rise buildings. The difference is like day and night.
View attachment 1821499View attachment 1821501View attachment 1821502View attachment 1821503
Yani Dar hakuna kitu once you step out of that cbd. Ukishatoka nje tu ya cbd hivi ni uswazi mwanzo mwisho
Eastleigh iko level nyingine....hata kwa luckysummer,magomeni bado sana
IMG_20210531_134641_392.jpg


Sent from my LAVA_R1 using JamiiForums mobile app
 
Hapa kani-bore





Anaendaje ku-partner na Equity bank Tanzania badala ya CRDB au NMB ? Au mobile companies? Hivi anajua jinsi watu hawazimikii haya mabenki ya Kunyaland? Mbona asi-partner na Equity bank Kenya!? Mimi siwezi kutumia hii app yake nikainufaisha Equity bank! Kama yupo humu ajue hilo! Sorry! :mad:

kwa uelewa na experience niliyonayo ya kutuma na kupokea hela kutoka née ya nchi.. hizo banks hazina hizo huduma.. hata mim natumia moneygram.. kupitia equity au kcb au DTB.. bank za kibongo kubwa hazitaki hizo biashara
 
Back
Top Bottom