Watoe wapi???lile jiji lao si wajua ni uswazi kushoto kulia? Imagine that's just Pipeline, a place some people consider as a slum.Nioneshe mtaa wa uswazi kama huu dar nifunge account.π π π
View attachment 1820548
Nyinyi ujamaa iliwafikisha wapi kimaendelo?Hivi huko 'ukambani' hakuna geographical name lisilohusiana na kabila? Wakenya ni wakabila mno, mnavyopaita ukambani maana yake hakuna kabila lingine wanaishi humo? Village mentality
Upige picha sehemu moja mara tano, yale yale tulisema.Hii ni kinondoni taja sehemu ambayo haina paved road nikuletee mm mwenyeweπ€£π
Na hii naona ni main road au sio
View attachment 1820203View attachment 1820204View attachment 1820206View attachment 1820207
Kuna hii inapatikana mandera road tanzania.Watoe wapi???lile jiji lao si wajua ni uswazi kushoto kulia? Imagine that's just Pipeline, a place some people consider as a slum.
Compare and contrast
View attachment 1820609
View attachment 1820614
Umeona sasa km hujielewi mzeeJinsi stendi za bongo zilivyopana , mvua ya upepo ikipiga maji yanaingia hadi ndani sasa hawa wenzetu na vistendi vyao vyembamba sipati picha na kingine brt buses zitakua zinapishan vipi [emoji848] wakati lane yenyewe moja tuu
Nyie kwenu mlishafeli kitambo[emoji1787]sasa tulieni dawa iwaingie..stendi ziwe pana kwn uliskia huo ni uwanja wa dhambiTuliwaambia waje tuwafundishe, wakajifanya wajuaji.
[emoji1][emoji2][emoji28]
Sasa tatizo analalamika bongolala mmoja mtandaoni hku watu wakijipia kila siku hapo bila bugdha yyte ileWacha kujidanganya ile viaduct yenyu ya Express Highway haina hii design! hii umenyofoa hapa !!
Chengdu BRT station!
Kumbe nawe bado unaenda **** vichakani!!
Yakwenyu inakaa hivi!
Yaani hapa mlishindwa kumbana Mchina aka-clear enough height space btn pedestrial overpass na viaduct? Mtaacha lini kwenda **** vichakani?
Nyie kwenu mlishafeli kitambo[emoji1787]sasa tulieni dawa iwaingie..stendi ziwe pana kwn uliskia huo ni uwanja wa dhambi
Hapo hakuna mambo ya kurundikwa watu wa kwenda sehemu zote mbili km hko kwenu[emoji1787][emoji1787]Mungiki amuishiwi vituko mungiki
Duh!!wenzaetu bado ndio wamekomaa na darwakati dar ikisubiri msaada, syongila interchange, ukambaniView attachment 1820582
View attachment 1820579View attachment 1820580
Kitui bana[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yani hadi Kitui iko na interchange, kitu ambayo bado ni ndoto hata kwa Mwanza! [emoji23] [emoji23]
Hta wewe kujiita mtanzania ni upuuzi, jiite muafrikaHivi huko 'ukambani' hakuna geographical name lisilohusiana na kabila? Wakenya ni wakabila mno, mnavyopaita ukambani maana yake hakuna kabila lingine wanaishi humo? Village mentality
Ukweli mchunguee..Wee usirudie kunitagi na ujinga wako.
Afrika bhn yn huwa hatuna hata msimamo na ndiyo maana huwa tunapoteza pesa nyingi za walipa kodi kwa upuuzi km huu, kiongozi aliyepita alipambana wahamishie shughuli za kiserikali Dodoma na alifanikiwa kwa kiasi fulani lkn huyu inaonekana haitaki Dodoma kila cku yupo Dar, kwahiyo tulikuwa tunapoteza pesa kuhamasisha watumishi wahamie Dom Mana haina mashiko tena, huu ni upuuzi sana tunafanya.
What do you expect wakati a few meters kutoka pale picha ilipopigwa unakutana na huu uwanja wa dhambiUpige picha sehemu moja mara tano, yale yale tulisema.
"Korido" [emoji23][emoji23][emoji23]
ππππππ"Korido" [emoji23][emoji23][emoji23]
Jamaa wana mbwembwe hao,imagine iko kikorido ndio ingekua stendi ya brt ya Tanzania hizo media zao zingekuaje sijui,but iko kunyaland wanasifia kwa uso ila moyoni wanajua kabisa kama wamejipiga middle finger"Korido" [emoji23][emoji23][emoji23]