Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hazina hela nyingi za kujionesha haya oneni maneno hayo 🀣🀣🀣🀣 team lazma iwe na uwezo wakujiendeleza kimaendeleo huwezi kua na team kubwa kenya haina hata banda la ofisi alaf useme hamujioneshi acha utoto wewe
Sasa si hela mnazo nyinyi, nimekwambia hatuna hela ila tunasulubishaga vitimu vya watu vyenye mihela!
 
Mwendo ni ule ule πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Ujinga wako umepitiliza, sasa nenda ukawajenge hizo bara bara juu ya majumba yao huko Lamu. Hivi unajua kuna nchi wacha hata visiwa, havina Transport system zingine sababu kuu kuwa ziko ndogo sana. Changamka wewe! 🀣 🀣 🀣
 
Ujinga wako umepitiliza, sasa nenda ukawajenge hizo bara bara juu ya majumba yao huko Lamu. Hivi unajua kuna nchi wacha hata visiwa, havina Transport system zingine sababu kuu kuwa ziko ndogo sana. Changamka wewe! 🀣 🀣 🀣
🀣🀣🀣🀣 sasa unanikasirikia mm wakat lami ya kwanza kujengwa lamu ilikua mwaka toka dunia imeumbwa au ndio ile ikifanyika kenya sio neno ikifanyika tanzania ni tatizo
Lamu pamoja kua na bandar kwa sasa bado maisha ni duni sana tena sana na bado punda ndio usafiri wao mkubwa mpaka dunia itasmama tena
 
Si mlisema ni affordable houses, kumbe majengo ya serikali? πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ’‰πŸ’‰πŸ’‰
Ni bank of tanzania hakuna alisema ni affordable housing ukipa sehemu mtu kasema nitag mm πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† unaanza kutafuta njia yakutokea
 
Baki hapo! πŸ’‰πŸ’‰πŸ’‰πŸ€£ Vipi lile jengo la Zenji lililoporomoka, mshalijenga tena?
 
Katika mawaziri waliofeli kenya ni huyu na yule mwenzie wa afya πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…