Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Shut the fxck up
 
Sasa kwani nyie kufanywa watumwa ni kitu cha ajabu? Mbn kule Libya mnafanywa watumwa lkn cc tukiwafanya watumwa mnachukua [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
stupid boy 😬😬Mbona unadanganya Wakenya,unajua huko Kenya Ndio Watz wengi tunatafuta Ajira,Naomba Tanzania tusifanye vitu zitawachafua Roho Wakenya,Tutaanza kukatwa katwa😭Wivu na Uchawi itatuua Watanzania
 
Ziko wapi ss hizo Towers mbn hamzioneshi tuzione, au ni invisible [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kweli ni za wabongo tumewajengea... Kajinyonge sasa! 🀣 🀣 🀣 🀣 πŸ’‰πŸ’‰πŸ’‰πŸ’‰
Foreign Private developers as usual, serikali yenu fukara sana haiwezi provide decent houses kwa watumishi na ninyi Mpo wa chafu kama nguruwe Hamuwezi kukaa kwenye nyumba yenye hadhi
 
Siku ukithibitisha kwamba hii ni Tz najinyonga, mnaokota picha za Google mnaleta huku, Tz haijawahi kukosa eneo mpk nyumba zikajibana hivi [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
stupid boy [emoji51][emoji51]Mbona unadanganya Wakenya,unajua huko Kenya Ndio Watz wengi tunatafuta Ajira,Naomba Tanzania tusifanye vitu zitawachafua Roho Wakenya,Tutaanza kukatwa katwa[emoji24]Wivu na Uchawi itatuua Watanzania
Hahahahahaa eti mtanzania huyu, Nicxie njoo umuone mTz wako huku [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Yani bado wanataka hii battle ya over 20 floors ama ni mchezo tu? Huku kuna hadi zingine zinajengwa na hata hatuna habari. Angalia hii picha kwa mfano.

Kuna jengo refu linajengwa a few meters from One Africa Place on the left na hata hatuna habari yaitwaje and no one has even talked about it here. Kwa kuangalia tu, it's almost on the 20th floor
 
Siku Nairobi itapata concrete jungle km hii just tag me[emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ukweli kabisa Kazi ya Jeshi ya Tanzania kutoka Vita za Kagera ziishe,Jeshi letu limekuwa lakupiga Raia wake Just imagini 😬😬😬
 
Na hapo sijaanza zenye ziko proposed, under construction na topped out na on hold ndani ya jiji la Nairobi. Msa sijafika, huko pia kuna vyombo vinakuja vikali tu! 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 πŸ’‰ πŸ’‰ πŸ’‰ πŸ’‰ πŸ’‰πŸ‘‡ πŸ‘‡ πŸ‘‡

Britam Tower 200.1 m (656 ft) 31 floors.
GTC Office tower 184 m (604 ft) 43 floors.
UAP Old Mutual Tower 163 m (535 ft) 33 floors.
GTC Hotel Tower 143 m (469 ft) 35 floors.
Times Tower 140 m (460 ft) 38 floors.
Prism Tower 133 m (436 ft) 34 floors.
Le'Mac 126 m (413 ft) 24 floors.
Teleposta Towers 120 m (390 ft) 27 floors.
Kenya Commercial Bank Plaza 109.1 m (358 ft) 24 floors.
Kenyatta International Convention Centre 105.2 m (345 ft) 32 floors.
Social Security House 102.7 m (337 ft) 28 floors.
I&M Bank Tower 99.1 m (325 ft) 18 floors.
Moi University Pension Scheme 89.69 m (294.3 ft) 26 floors.
Sanlam Tower 88.2 m (289 ft) 19 floors.
Nyayo House 84.1 m (276 ft) 27 floors. Cooperative Bank House 83 m (272 ft) 25 floors.
Nation Centre 82.9 m (272 ft) 17 floors.
National Bank House 82 m (269 ft) 21 floors.
Rahimtulla Tower 80 m (260 ft) 22 floors.
Anniversary Towers 79.9 m (262 ft) 26 floors.
Lonrho House 79.9 m (262 ft) 22 floors.
Kizingo Tower 77.13 m (253.1 ft) 22 floors.
Reinsurance Plaza 77 m (253 ft) 20 floors.
AmBank House 74.6 m (245 ft) 25 floors.
Chandaria tower /University of Nairobi Towers 22 floors
Jaffery Complex 70.12 m (230.1 ft) 20 floors.
Uchumi House 71 m (233 ft) 21 floors.
ICEA Building 69.2 m (227 ft) 19 floors.
View Park Towers 68 m (223 ft) 20 floors.
International House 65.5 m (215 ft) 17 floors.
Delta Corner Tower 'A' 61 m (200 ft) 21 floors.
Delta Corner Tower 'B' 61 m (200 ft) 21 floors.
Mwalimu Towers 17 floors.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…