Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kumbe sio sana sasa nyamazeni musishindane na team zenye pesa east africa 🀣🀣🀣🀣 au mm nadanganya
Sijui, chenye najua ni records tunazovunja huku, na dunia nzima inajua hilo, wacha hata nyinyi! 🀣 🀣 🀣 🀣
 
Hamna lolote, πŸ’‰πŸ’‰πŸ’‰πŸ’‰ hizo! Hawa wenyu hata gari wanaweza kununua? πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Wanasubiri kusaidiwa na bwana zao 🀣🀣 eti wamepigana vita hata sijui vita gani wamepigana africa hii zaidi ya tribalism war
Hamjaacha kula albino, waoga wa kutupwa nyie! Majirani zenyu mmeogopa kutia mguu kuwasaidia, Congo ata ndio vituko, hehe... Njooni Somalia sasa mchinjwe kama kuku, Waganda wale wa Amin sio hawa wa sahi, wana bonge la experience hata wao, mkitoka sparr sahi, mnalizwa hadi kuche... πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 

Hamna jengo la serikali hapa
 
Tanzania's poverty headcount ratio at national poverty line (TZS 49,320 per month per adult equivalent, which is equal to $1.35 per person per day in purchasing-power-parity terms) has declined modestly over time, falling from 28.2% of population in 2012 to 26.1 in 2019, Tanzania’s rapid population growth has caused the number of people living below the national poverty line to steadily increase. πŸ‘‡
 
Je nyie muliingia hata hio afcon yenyewe ??🀣🀣🀣 bora ya sisi tumecheza na mpunga tumechukua
Umesahau tulikuwa kundi moja Afcon 2019 na tukawatandika kichapo cha mbwa? Wewe umechanganyikiwa usiku na mchana. Ni mapema sana kuchanginyikiwa but let me refresh your memory a little bit
 
Tanzania with only 22 towers above 20 floors....then add adis ababa with 20, + kampala 4, + Mombasa 5.... while Nairobi is on 50+ at the moment.with an accountable number of projects underconstruction [emoji706][emoji81][emoji81]

Sent from my LAVA_R1 using JamiiForums mobile app
 
Sio kibera tu yenye 2.5 m people kuna mathare, kariobangi, makuru kayaba, kisumu ndogo, etc πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

Au mm nadanganya 🀣🀣🀣🀣
Sasa hizo slums na hizi dreamhouses zenu wapi tofauti?

Linganisha hiyo na hata hii picha ya Huruma slum πŸ˜‚ πŸ˜‚

Nakuambiaga some of the places categorized as slums here in nairobi ziko na unafuu tena sana than those Swahili shanties you call dreamhouses. Jana nilikupa mfano na Kariobangi na Kawangware slums ukaanza kelele zako za kawaida mara estate, mara zinamilikiwa na politicians blah blah blah!
 
Dar has seven towers over 100m only...Tpa,pspf a,and b, ppf,nmf,mzizima a and b

Sent from my LAVA_R1 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…