Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

immediately after nakuru... eldoret is next on the pipeline for city status granting by parliament nxt week..
in tz, any town even ones in the village are called citiesπŸ˜†πŸ˜† the likes of; tarime, tabora, geita, mtwara, njombe, shinyanga, sumbawanga, chigoma, lindi and so on.... wanakufuru swala ya UN
 
Ukiulizwa ni lini "tarime, tabora, geita, shinyanga, sumbawanga, chigoma, lindi" zilipewa hadhi ya majiji huna jibu la kujibu.
 
What about Rironi -limuru road 25km, 10 lanes😁😁😁🀸
Where is 10 lanes wakat thika yenyewe haina 10 lanes 🀣🀣🀣🀣

nasubiria kuoneshwa 10 lanes ritoni limuru road πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ukiulizwa ni lini "tarime, tabora, geita, shinyanga, sumbawanga, chigoma, lindi" zilipewa hadhi ya majiji huna jibu la kujibu.
Sasa mji kama Mbeya iko na nini ipewe hadhi ya jiji? Jiji ambalo liko na nyumba moja ya lift!
 
Nimeskitika kwanzia picha ya kwanza mpaka ya mwisho majengo ni yale yale 🀣🀣🀣
 
Wewe mwarabu unadhani ni lazima mtu aajiriwe ndio aishi? Mbona hujiulizi licha ya hayo yote Kenya iko na middle-class wengi kushinda Tanzania?
🀣🀣🀣🀣 haya sikia huyu yani mukiweza lipa rent middle class basi mushakua middle class labda iyo class iwe ya kenya na sio yakidunia

nilishakwambia kitu mutatushinda nyinyi ni umaskini tu na njaa hio nitakubali na sio vinginevyo🀣🀣🀣
 
Sio mm niliesema ni world bank ndio wamesema πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ kwann unakasirika sasa yani hata zimbabwe sasa ana nafuu kuliko nyie alaf mkija hapa ohh nye nye sisi tuna GDP kubwa imesaidia nn
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…