Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Km hujui kingereza mtihani wa KNEC utaujibu vipi, kenya ni lazima ujue kingereza ndio uelewe mambo yanavyokwenda shuleni[emoji1787][emoji1787]
Sio km nyie kingereza munekiweka km part two kwenye sarakasi lenu la utoaji elimu...
AkA ubabaishaji system, only in tanzania km si shobo ni nn[emoji1787][emoji1787]
 
KabisaπŸ‘
 
Wapumbavu ni wale wanaonyanyaswa ila hawasemi! 🀣 🀣 🀣 πŸ‘‡ Mchina ni ndugu yenyu na mnamkana??? πŸ˜‚πŸ˜‚ πŸ˜‚


 
Are you saying/confirming that 80% of people who live in Dar are poor? Nasema hivyo coz 80% of Dar inafanana na hizo picha nilizoleta hapo juu
According to who mama ngina 🀣🀣 inamaana google earth haijui ila inachojua ni slum za dunia nzima ispokua dar au sio
 
Kilianzishwa Kenyan Coast Ndio maana tunawaitanga waswahili,Ata Kama naongea kiswahili Mimi sio mswahili kwahivyo naweza kukichanganisha mpaka na Lugha yangu ya mama,Nyinyi Watz mliamua muwe waswahili woteπŸ™‰MaajabuπŸ˜†
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Heb leta evidence basi we tako πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…