The biggest slum in Nairobi is this one. See how 'big' it us in relation to the rest of the surrounding areasNairobi nzima imejaa slums so which place in Nairobi are you talking about?
We fala nn mm nakutajia mtu aliye level moja na kina Newton, Gali leo, Einstein wewe unanitajia mtu aliyekariri mambo ambayo hata wewe unaweza [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]wacha blablabla Nyingi Taja mtu moja aliyetambulika internationally kwa masomo sanasana Hesabu,Kama,Dr Mukisa Kituyi,ambaye alikuwa secretary General wa (UNCTAD)United Nations Conference Trade And Development[emoji91][emoji1139][emoji91][emoji857]Yani wacha tu
Hizi unamuachia nani [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]The biggest slum in Nairobi is this one. See how 'big' it us in relation to the rest of the surrounding areasView attachment 1814682
Now compare and contrast with these dreamhouses that are everywhere you lookView attachment 1814684
View attachment 1814683
Inferiority complex zako pelekea mama Ngina.i realy realy Hate! TANZANIA with passion [emoji83][emoji83]. hope 'The Best 007'. amenisikiliza vizuri!
hakuna siku mtaweka miguu zangu pale! hawa watu wanajiona wako very special na hakuna kitu pale.. empty!. debe tupu
Nafurahia jinsi mnavyosumbuka na mambo ya Kenya ambayo 90% hata hamyajui. Instead of consuming half-baked truth, you couldn't even do a simple Google search ndio ujue ukweli iko wapi?nilitaka kuuliza budget yao mwaka jana ilikuwa ngap.. kumbe ilikuwa kubwa na ya mwaka huu wamepunguza.. wataelendea kupunguza tu mpka pale panapotakiwa.. you cant have budget ambayo 60% huwez kuihudumua wew mwenyewe kwa mapato yako then unajisifia kwa budget kubwa.. huo ni uchoko.. hawa mwaka kesho watapunguza tu tena
Wakulima market[emoji1787][emoji1787]mind you brt nairobi station zipo pande mbiliAu sio [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1814617View attachment 1814623
Of course mmetuacha kwenye mambo mengi. Hilo halina ubishiWakenya wengi walikuwa hawajui km tumewaacha kwenye mambo mengi sana but now they know na huwezi kuwadanganya tena [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ni Vizuri na sijakataa😃Lakini alipovumbua hivo aliendeleza uvumbuzi wake ama alirudi kulala,Minakutajia watu ambao walisoma mahesabu kisawasawa,Kama Obama alifanya Mahesabu zake mpaka akijipata Ikulu Amerika Ndani,can you do That?????Mwingine akavumbua Mpesa ambayo itasaidia wengi,Yani real life sio Blablabla nyingi😬😬😬We fala nn mm nakutajia mtu aliye level moja na kina Newton, Gali leo, Einstein wewe unanitajia mtu aliyekariri mambo ambayo hata wewe unaweza [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1814686
Probox mkuu laki tisa kw kenya[emoji1787][emoji1787][emoji23]hiyo baiskeli tu ananunua Probox kwa msela wake [emoji23][emoji23][emoji23]
Kumbe hata wewe unatumia mtumbaAu nichukue hii[emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 1814661
Hamujui Bicycles zinanunuliwa Kama TakaTaka Huku KE,Yani mpaka zimejaa na Watoto,wwe unanipima na baisikeli😆 Maajabu🙈Hii Dunia hehehe[emoji23]hiyo baiskeli tu ananunua Probox kwa msela wake [emoji23][emoji23][emoji23]
Kibera is the biggest of them all na umeona inavyotoshana kwenye hiyo picha nimekuletea. Hizi zingine kuna baadhi yao ziko na unafuu kuliko uswazi zenu zilizotapakaa kila mahaliHizi unamuachia nani [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1814687
Hakuwa wa kwanza kujua ujue... 🤣🤣🤣Tanzania ndiyo nchi pekee hapa Afrika kutoa new scientific fact na ikakubaliwa na wana science duniani kote[emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1814673
Kwani hujui kwamba kiingereza ni kizungumkuti kule? 😂 😂 😂 😂Hakuwa wa kwanza kujua ujue... 🤣🤣🤣
"The discovery and noted observations of it however originate in ancient times, having been common knowledge according to Aristotle during his time."
Kwn mchina barabara ameuziwa au ni kwake amekuja kujenga tu, sometimes buda we una matatizo.Na mm nijibu ni kiasi gani huo mradi jubilee imeweka pesa ili huo mradi uitwe ppp yani mchina aweke pesa zake na bado ataweka toll zake do u think a single coin will go to ur government labda mchina awe mwehu [emoji1787][emoji1787] nyinyi subirini mchina akamilishe mradi wake alaf pain mutakutana nayo pale toll for 30 good yrs
Kabisa yani, hyo yake hta kwnye syllabus haipo[emoji1787][emoji1787]Ni Vizuri na sijakataa[emoji2]Lakini alipovumbua hivo aliendeleza uvumbuzi wake ama alirudi kulala,Minakutajia watu ambao walisoma mahesabu kisawasawa,Kama Obama alifanya Mahesabu zake mpaka akijipata Ikulu Amerika Ndani,can you do That?????Mwingine akavumbua Mpesa ambayo itasaidia wengi,Yani real life sio Blablabla nyingi[emoji51][emoji51][emoji51]
Mpaka nikashangaa mambo ya majimoto sijui baridi Hehehe😆🙈Kabisa yani, hyo yake hta kwnye syllabus haipo[emoji1787][emoji1787]
Let me keep them guessing [emoji23]by da way. Mashashola ni mkenyareè na sio mtzii. hilo mlijue na mlifahamu vizuri..