The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,616
- 98,847
Inabidi lifanyike hilo mkuu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hivi anafahamu tukiamua tunaweza kufahamu(au kumfahamu mwenye picha) hadi anapoishi kupitia hiyo picha!
Inabidi lifanyike hilo mkuu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hivi anafahamu tukiamua tunaweza kufahamu(au kumfahamu mwenye picha) hadi anapoishi kupitia hiyo picha!
Post jomba hujazuiwaHahahahahaaa kwamba hujaona mm nikipost mali yangu? Vipi unataka twende ground mm na wewe?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Your brain is full of shit,wannabe economist!You live in kibera while trying to be conversant with things that are happening downtown. The Expressway is a rip off just another loan repackaged under the guise of PPP at the end of the day poor Kenyans end up footing the bill for 30 bloody years. Let us say if the return on investment can be achieved in 10 years these sharks will still squeeze cash out of poor Nairobians for another 20 years.Nani kawaloga hawa wakenya.
Hahaha hio ndio barua za serekali hukaa hvo ukipata official link ring road ya dodoma imesmama nitag nifunge acc 🤣🤣🤣 naona kigogo anaondoka na akili zenuMaguFOOLis Dodoma 'ring road' thrown to the dogs tuusan View attachment 1811640
wewe unatisha ulienda Kisumu kiichofuatia hawana hamu mpaka leo! Sijui uende Nakuru Town this time? 🤣 🤣🤣🤣🤣🤣 sijui kwann wananiogopa na kunichukia
Hahaha wakenya watasubiri sana kwenyw kitu kinaitwa maendeleo 😆😆😆kenya ni mall
View attachment 1811691
Kigogo amewadanganya ona hio barua ilivo tengezwa kienyeji 🤣🤣🤣🤣SERIOUSLY MISLED[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
DODOMA 112KM RING ROAD IS ON PIPELINE.
Nakuru ni ushuzi wa bata ni katown kadogo sana pamoja na udogo bado kuna kuna slums za kutosha 😅😅😅😅wewe unatisha ulienda Kisumu kiichofuatia hawana hamu mpaka leo! Sijui uende Nakuru Town this time? 🤣 🤣
Sasa kama ni shit forum unasubiri nini humu kila siku upo? Si uondoke kwn unalazimishwa kuwa humu? Nenda kwenye forums zenu kwn c zipo, Moderator Active Invisible Active Maxence Melo mbn mnamuacha huyu muhuni anajaribu kuharibu reputation ya platform yetu adhimu ya JF? Kwnn msimpige ban la maisha na kuifuta kabisa hii account?
Na suggest mumpige ban la maisha na kila atakapofungua account nyingine mkibaini tu piga ban, haiwezekani muvumilie mtu anatukana brand yenu mliyotumia nguvu kubwa kuifikisha hapa.
inawauma vibaya sana [
Kumekucha 😎 😎 😎
Nchi ishakufa hii, socialite wa kudanga afanywa tourism ambassador 🤣 🤣 🤣
😄😄😄😄 kwenye 10 chukua 1hongera kwa statistics uchwara