Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

I normally come here specific for two things.

1. Get updates that I could have missed on other platforms about EAC.
2. Showcase what my motherland Kenya has. It's diversity and beauty.

I know many Tanzania's on this forum are on payroll to engage Kenyans with stupid arguments so that to keep the platform active. That is not a worry for me, because I really do not care as long as my 2 objectives above are achieved.

It is true that without Kenyans Jamii Forum is dead. Kenyans are always an active lot online. So Tanzanians we understand your objectives here.
We fala Jamii forums ni km kabati lenye shelves tofauti tofauti, hizo shelves ndio zinaitwa forums, ss hizo forums ndio zinabeba threads km hii ambayo inatoka kwenye forum ya Kenyan news, kuna millions of Tz who are in Jamii forums but have never visited this forum, shortly ni kwamba this is not the best Jf forum though it has large number of views.

Kingine ni kwamba mkiona mzigo mzito humu Jf ondokeni humu wala sio lazima kuwepo cz cc wenyewe watz tunatosha na hii platform iliasisiwa kwa ajili ya watz, nyie wengine ni shobo zenu na orgasm ndio zimewaleta humu.
 
Anasema nini huyu Kinjeketile!?
 
kunyaland hawachelewi kusema wao ndo wamedesign
IMG_1623085906.112022.jpg
 
Ignorance is bliss
You live in kibera while trying to be conversant with things that are happening downtown. The Expressway is a rip off just another loan repackaged under the guise of PPP at the end of the day poor Kenyans end up footing the bill for 30 bloody years. Let us say if the return on investment can be achieved in 10 years these sharks will still squeeze cash out of poor Nairobians for another 20 years.Nani kawaloga hawa wakenya.
 
Nimecheka sana wallahi yn Wakenya wakitaka kujionesha wana maisha mazuri lazima waumbuke mana wana fake hakuna mkenya hata mmoja amefanikiwa ktk hilo ukiacha Tony 254 ambaye yeye alionesha vyeti na kweli tulikubaliana naye, ila hawa wa kuonesha wana mali kumbe ushuzi mtupu huwa wanaaibika vibaya sana.

Tazama ilo buti la mtu aliyepanda business class, alafu angalia na kiti kilivyo cha ubabaishajiView attachment 1810538
91625462_1051175225240506_2776123438291484672_n.jpg
 
Sasa kama ni shit forum unasubiri nini humu kila siku upo? Si uondoke kwn unalazimishwa kuwa humu? Nenda kwenye forums zenu kwn c zipo, Moderator Active Invisible Active Maxence Melo mbn mnamuacha huyu muhuni anajaribu kuharibu reputation ya platform yetu adhimu ya JF? Kwnn msimpige ban la maisha na kuifuta kabisa hii account?

Na suggest mumpige ban la maisha na kila atakapofungua account nyingine mkibaini tu piga ban, haiwezekani muvumilie mtu anatukana brand yenu mliyotumia nguvu kubwa kuifikisha hapa.
Anaita shit forum wakati kila akipigwa ban anafungua ID mpya ili aone nini kinaendelea jamiiforums

Mkoloni aliondoka na akili zao.
 
Kaitoa kwenye ki thread uchwara nimekiona nikakipotezea, hawa Wakenya wamejazana humu Jf huwaambii kitu, masaa yote wapo Jf tu hata kazi hawataki kufanya.
Majobless wa Jubilee hao
70 ya wakunya humu ninawafahamu kwenye social networks zao...wanatia huruma.
 
Back
Top Bottom