Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

wamejam na Lowassa kwa kuwaambia ukweli hahaha. Watu wanaishi in denial sana.halafu in Tanzania people live in village cocoons. .....It's way funny and interesting. and majority are very happy and comfortable with their poverty...Lol.nowonder they never make noise hata kama wanateseka na kunyanyaswa
Povuuuu....
 
Kenya mnadai hatujui English wa TZ lakini ni Tanzania pekeyake ambayo imeweza kuchukua ushindi wa BIG BROTHER AFRICA mara mbili kutoka EA. Washindi ni Richard pamoja na Idris namara nyingi tumekuwa tukiingia Top 3. Idris alishinda kwa kupata kura kwenye nchi tano. Swali nije Big Brother wanaongea Kiswahili?? TZ habari nyingine.
Richard_Big_Brother_Africa_2_winner.jpg

unnamed-1.jpg
Finalevotes_article_med-1.jpg
 
Kenya mnadai hatujui English wa TZ lakini ni Tanzania pekeyake ambayo imeweza kuchukua ushindi wa BIG BROTHER AFRICA mara mbili kutoka EA. Washindi ni Richard pamoja na Idris namara nyingi tumekuwa tukiingia Top 3. Idris alishinda kwa kupata kura kwenye nchi tano. Swali nije Big Brother wanaongea Kiswahili?? TZ habari nyingine.View attachment 543186
View attachment 543187View attachment 543188

Lol...big brother ndio kitu ya kuringa!!!SMH. ....winning for being a randy stripper or a sex pest.lol
 
pongezi kwako na kwake pia comrade. namkaribisha katika jumuiya ya watu wenye majukumu ya kifamilia.

gonga cheers hewani huko huko uliko comrade.
Cheers comrade, nakaribia kuingia huko aisee.
Ubarikiwe Kabisa...
 
it's only in Tanzania where you can travel from isebania border to mwanza town without seeing a permanent house.You deserve LDC status by all means

Tanzania is big than all Kenya ,Uganda Rwanda and Burundi combined .. the population is so scattered ...yet unataka uone permanent house kila sehemu wewe ni Nani
 
Cheers comrade, nakaribia kuingia huko aisee.
Ubarikiwe Kabisa...
karibu sana katika ulimwengu huu.sisi wengine tulishaingia kitambo sana.

ni ulimwengu wenye mazuri na changamoto zake za hapa na pale.lakini mwisho wa siku lazima maisha yaendelee maana nyakati hazirudi nyuma.
 
kadoda is a good student...I see you picked up many Kenyan vibes no wonder you are the only Tanzanian who is close to sober in this page...Lol
 
Naona size ya Nairobi kwa sasa ni Kampala kusema kweli. Kama hadi nguo wanavalishwa na Tanzania na China hawa ni majanga.Tukiacha ku export kwao kuna uwezekano nusu ya Kenya wakabaki uchi.View attachment 543004View attachment 543005 View attachment 543007View attachment 543008
Mulisaaa bro tusiwachanganye kampala bwana wale ni moja ya marafiki wetu wa kwer hawanaga mda wa kijinga wala majigambo na tabia za kujikweza kaa hawa wahenga wengine

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Tanzania is big than all Kenya ,Uganda Rwanda and Burundi combined .. the population is so scattered ...yet unataka uone permanent house kila sehemu wewe ni Nani

hiyo nchi yenu hapana. ...my tribal Kenya is miles better.
 
Dash kweli waganda watu poa sana
Mulisaaa bro tusiwachanganye kampala bwana wale ni moja ya marafiki wetu wa kwer hawanaga mda wa kijinga wala majigambo na tabia za kujikweza kaa hawa wahenga wengine

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Mulisaaa bro tusiwachanganye kampala bwana wale ni moja ya marafiki wetu wa kwer hawanaga mda wa kijinga wala majigambo na tabia za kujikweza kaa hawa wahenga wengine

Post sent using JamiiForums mobile app

it's good to be hated. means you are doing something. ........Kenya is up there nyinyi someni label polepole.Kampala nayo kama Kisumu tu
 
it's good to be hated. means you are doing something. ........Kenya is up there nyinyi someni label polepole.Kampala nayo kama Kisumu tu
we mhenga wakijaruo label mtasoma nyie saivi sio sisi sasa kama hata tren mloletewa kumbe kazi bure lishaanza kuzingua wakati huo si hatuwasubili tunakimbizana na mda na kila tunachokifanya ni kwajili ya taifa letu sio kwa jili ya mzungu kaa ....lakini pia ni ukwer kwamba ugandan brothers ni bora sana kwetu kama tulivyo kwao hao ni moja ya taifa tunao fanana tabia kama ukalim,upendo mshikamano ambapo ni vitu nadra sana kuvipata kwenu .you need to wake up man

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom