Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hahaha!!mbona hutaki kuleta outcome ya uchumi arusha tuone
 
Kariakoo ni kila mtu from all over Tz hatuna classes wala segregation kwetu
Kwn kusema wapemba ndio wengi kariakoo kw akili yako unaona tumetaja classes[emoji1787][emoji1787]
We mzee tena akili zako zipo sawa au na wewe umekuja kuwehuka km kawaida yenu
 
Kwa sifa zenu za kijinga mtakuja kusababisha divorce kwenye ndoa za watu,hata kipindi magu anafariki akazuka mama wa kikenya anadai ana mtoto wa magu,nyie jamaa wajinga sana
Wacha utopolo hapa, alijitokeza wapi? Ulimwona kwa news akidai hivyo?... Huyo mama mwenyewe ni Civil servant, ana maisha yake hata hajui mambo ya Magu, hizo story ni wapuuzi tu walimbandika! Kuwa na facts kabla hujapanua mdomo kuongea!
 
Kumbe mnaishi nyumba za kurithi? Fanya kazi ujenge kwako wewe boya, unagojea za babaako? πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Unabishana na mtu anaishi shamba la babaake? πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Endeleeni kuota!!! πŸ˜‚
 
Wacha nkuambie hiviπŸ˜† Mtu anaeza Toka Kisumu kwa Nyumba yake,alafu aende akomboe Nyumba Nairobi kwasababu ya Kazi.Hao unawaona Kibera wengi Ni Luos na Kwao Kisumu wamejenga Bungalows zao,Usithani KE Ni Kama TZ
Ndio yale yale aliongea mwenzio akili za nyumba ya utithi ushagoo🀣🀣🀣 tatizo lenu munataka kutudanganya sisi wakat tunaeajua in out, mtu anafananisha england na kenya wakat england hakuna slums na watu hawazungumzii housing and water
 
Hawataelewa wale wenye kupatiwa mashamba na serikali wajenge, tena hapo afanye mchango home ili hela zifike anga za room mbili! 🀣 🀣 🀣
 
Kwa mtazamo wao kuhusu plan ya Dar basi hata california ni slum, sababu na yenyewe ina mpangilio kama Dar πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Tena Dar tumeizidi california sababu eneo lenye hii plan ni dogo sana

View attachment 1808577
Na kule watu wana dream house zao wao akili iliobakia kichwani ukiweza rent bedsitter basi ni middle class 🀣🀣 wakat hzo estates owners ni wale wale kama sio investors basi politicians

ww imagine joho familia yake walikua ni maskini kabisaa kawa governer for just 7yrs sasa hvi ni billionare mombasa yeye na familia yake wanamiliki ardhi kila kona ya mombasa 🀣🀣
 
Huyo ni kilaza siku zote πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚, wanadhani Kenya ni Tanzania, he is looking at Kenya through Tanzanian lenses., thus a skewed reasoning due to erroneous perspective.
Umekuja msaidia mwenzio 🀣🀣🀣 muokoe sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…