Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hata wewe mwenyewe wajua story za vijiweni hizo, jiliwaze na hilo basi alafu ukimaliza nipe link pahali walifanyiwa hivyo unavyosema, nifunge acc yangu! 🤣 🤣 🤣
Unataka ushahidi KDF wanavyofirw* eeehh!???..al shabab sio watu wazuri kabisa..
 
Kwa hiyo hao sio wale mdebwedo waliokimbilia machakani manda bay mujahedeen al harakat walipovamia!!!
Kenya Police with Kenyan made rifles
Screenshot_20210603-090309.png
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Watanzania ndio wajinga zaidi, unafunzwa elimu part two yote kw kingereza alafu mwisho wa siku unaambulia patupu kwenye lugha[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sasa hapo mjanja nani na mjinga nani?kwhyo ufunzwe kw kingereza tokea la lwanza mpka chuo alafu uambulie patupu kwnye lugha..
Kweli nimeamini watanzania akili sufuri[emoji2960]
Form one mpka form unafundishwa kw kingereza lkn mwisho wa siku zezeze[emoji1787][emoji1787]
 
Full kilaza at his best![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nikikuita semi illitrate unanuna, sasa ona? [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] , tell me 25% of fertile land ni kiwango kipi? in hectares..,na iko sehemu ipi ya nchi kwa wingi? wacha nikusaidie, lies mostly in western region of Kenya towards Uganda, kwa waluhya sana sana.,Moi na Kenyatta wako rift valley na central, and coast, hawana miliki yeyote western!, na how many in hectares do the kenyattas and Moi own? and others u claim to know? and in which places are there farms? utasemaje kuhusu Lord Delemere (mzungu) anae own ranch and a big farm in Naivasha, unajua Naivasha iko vipi?, ni somewhat semi arid, ile familia wana irrigate., hakuna mzungu ana own fertile land in Kenya kwa wingi, Delmonte ni muwekezaji, amepewa lease to create employment na kuchangia uchumi, Kenyatta owns big swaths of land in coastal region, not good for farming, za Kiambu mingi waliuza zamani., so swali langu kwako kilaza; waluhya wenye wana own big lands kule scheme, thousands of acres in western and trans-nzoia areas sio wakenya sio? Kalenjin wa rift valley sio wakenya? wajaluo wenye ukoo Nyanza hizo sio zao ni ni za Moi na Kenyatta, na wazungu na bebeberu kwa kauli yako? unapata tabu sana[emoji23][emoji23] Na Wakuria je wanao pakana na watanzania pale Isbania? na wa Maasai? na Wa kisii pia sio wakenya? Turkana? Borana? Pokot? hawa wote ni masquota?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Wakamba utasema nini? ardhi ya Machakos na Kitui county ni ya wana siasa na akina Kenyatta sivyo?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].., fala wewe haujui Kenya, unatamani tufanane kwa ufukara lakini wapi, walie walisha propaganda walikufa., sasa mmebakia kutapatapa tu[emoji23][emoji23][emoji23], mnashangaa shangaa tu..,
ichoboy01 ni kilaza nambari moja jf[emoji1787][emoji1787]
 
Let's discuss about EAC future🤔Imagine the Size of the City that will be built in Arusha(EAC capital City), Imagine EAC Iron Dome System,Imagine long Distance Midnight Trains from North To South(Just for Fun),Imagine Huge Mega Cities,Big huge plantations,Huge canal irrigations on Dry Parts of EAC,Imagine huge Oasis Estates built in Deserts(Like Saudi and Bigger),Imagine long Distance bullet Trains,Imagine long Distance Buses,Imagine Huge ports,Imagine Huge Cultural practices,Imagine all that Fun and More Jobs that can be created more than we can imagin, European Don't want that Ndio maana walimuua Gaddafi,If EAC ilikuwa Kweli,No country on Earth will dare us🤔😏😃Musinitusi it was just my Imagination🔥🔥
if we unite with these 'makwerekwere', we'll spoil the broth as kenya. combined gdp of the rest of EA bado haifikii ya kenya. ie. tz,ug, rwada, burndi, ssudan. hence: $(63+30+11+3+3)B=$110B respectively.
against kenya's $126B!. better kila mtu abambane na hali yake
2021_05_31_14.07.26.jpg
 
Magufuli alikua genius kwenye option ya Dodoma

Kabadilisha sana Dodoma mpaka saivi, sijui miradi yote inayoendelea ikikamilika itakuaje

Kitendo cha wafanyakazi zaidi ya 30k wa serikali (mostly middle incomers & higher incomers) kuingia kwenye eneo for the first time, economic effects zao ni kubwa sana kwenye uchumi wa Dodoma.

Saivi kila business kubwa inahangaika kufungua branch Dom
 
Watanzania ndio wajinga zaidi, unafunzwa elimu part two yote kw kingereza alafu mwisho wa siku unaambulia patupu kwenye lugha[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sasa hapo mjanja nani na mjinga nani?kwhyo ufunzwe kw kingereza tokea la lwanza mpka chuo alafu uambulie patupu kwnye lugha..
Kweli nimeamini watanzania akili sufuri[emoji2960]
Form one mpka form unafundishwa kw kingereza lkn mwisho wa siku zezeze[emoji1787][emoji1787]
Sindano za hizo tweet zimekuingia vizuri kabisa [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Magufuli alikua genius kwenye option ya Dodoma

Kabadilisha sana Dodoma mpaka saivi, sijui miradi yote inayoendelea ikikamilika itakuaje

Kitendo cha wafanyakazi zaidi ya 30k wa serikali (mostly middle incomers & higher incomers) kuingia kwenye eneo for the first time, economic effects zao ni kubwa sana kwenye uchumi wa Dodoma.

Saivi kila business kubwa inahangaika kufungua branch Dom
Kwa niyaonayo Dodoma kila nikitembelea naona soon nikinunua kiwanja.
 
Back
Top Bottom