Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wakenya Imebidi waulize wasanii wa bongo pesa wanatoa wapi, Mbona celebrities wao ni slum dwellers wote [emoji28][emoji28][emoji28]

View attachment 1804215

Huyo ni mtz mwenzenu[emoji1787][emoji1787]uandishi tayari umemuumbua kw kutaka ku fake na wewe zuka hujielewi umechukua ukaleta huku..jf sio ya mazuzu
 
Simba FC? logo?

sorry, hiv huwa unajiona una akili kweli?
"Kw mkapa hatoki mtu hapa" wakati hata timu ndogo ndogo za kenya inashindikana kuzifunga[emoji1787][emoji1787]
Timu za tz kenya sana sana wanashinda kw penalties tu l
 
Ili Tanzania iwe Debt to GDP kama ya Kenya inatakiwa ikope kiasi gani. Na hizo Trillions Kenya atakuwa hajakaa akilia machozi ya Mbwa Pori
Ni pesa nyingi sana bro 🀣🀣 yani watalia kile kilio cha mbwa koko
 
Huu ndio ule uwanja wa kisumu umekula billions πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Mchina kawasaidia sn kuongeza ongeza vijengo, mna kila sababu ya kumuuzia nchi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Peleka ignorance yako mbali. That's called foreign direct investment and Kenya leads in Africa in attracting FDIs just in case you didn't know. At the end of the day, pato la taifa linaongezeka wewe ukiendelea kupiga kelele hapo mwananyamala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…