Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Msikieni huyu mwehu, wkt yeye mwenyewe hajui kiswahili[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hata kama hakijui, ukweli ni huku nje Kiswahili kinajulikana ni cha KE, yeyote yule ukimuuliza, KE ndio kitu cha kwanza kutaja. πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ Haina shida lkn, ni chenyu hatukiibi...
 
Jamaa hawajapenda hata kidogo πŸ™‚Hilo halina ubishi πŸ™‚ maisha ya wenzetu Noma Sana πŸ™‚
Vipi South B, South C, Nairobi West, Nairobi South, Bellevue, Akiba, umewaonyesha ndugu zako? Huko pia ni kwa commoners, Na ni Nairobi bado. Ata Runda nk usifike huko! 🀣 🀣 🀣
 
joe biden still remembers his connection with kenya and won't allow china to buy kenya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…