dickchiller
JF-Expert Member
- Apr 30, 2012
- 1,847
- 3,151
Kisa kapost picha ndio uwapigie UN haaàaaa wakenya bwana mnapenda kujipendekeza sana . Kuna mmoja mpishi yupo bongo kwenye taasisi moja basi anapenda kujisifia alikua mpishi South Africa na nchi kadhaa afrika. Naishia nimeangalia yaani kupata exposure kote bado unaendelea kutumikishwa jikoni ? Si angefungua hata restaurant yake . Mpishi wa kikenya akiitwa chef anaona rahaUmejianika vibaya, wacha nipigie UN office Nairobi, unachezea kazi wewe
ExactlyReal-Estates ni jambo gani sana sana tz. nadhani wameanza ule mfumo wa kenya. wameanza kutu iga
Kila mtu atakayekuwa chef mwenye exposure anafaa afungue restaurant yake sio? 😂 😂 😂 Akili zingine bhana!Kisa kapost picha ndio uwapigie UN haaàaaa wakenya bwana mnapenda kujipendekeza sana . Kuna mmoja mpishi yupo bongo kwenye taasisi moja basi anapenda kujisifia alikua mpishi South Africa na nchi kadhaa afrika. Naishia nimeangalia yaani kupata exposure kote bado unaendelea kutumikishwa jikoni ? Si angefungua hata restaurant yake . Mpishi wa kikenya akiitwa chef anaona raha
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]nairobi bila make up ni yakiboya sana,,,,jiji la nairobi ni lahovyo hovyo,,,Nipo shehe wangu ndo napakia mzigo kidogoView attachment 1801417View attachment 1801418[emoji846][emoji846][emoji846]
niliwahi pita hiyo sehemu ni kuchafu mpaka sana,,,naona hapo ni mwendo wa githeriNairobi ultra modern market kwa ndan [emoji846][emoji846][emoji846]View attachment 1801426View attachment 1801427
Kaka usiache kitu wameanza kujitetea huku [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wenzio huwa wanaanza kupiga kelele hivi hivi mwishoni wanakaa kimya, tatizo wewe mgeni humu hujajua bado Tz huwa hatukosei, huoni wenzako wamekaa kimya cz wanajua bakora zishaanza tena [emoji3][emoji3][emoji3]Jaman mnaona vinyumba hivo[emoji23]
Ss vitisho vya nn, huyu c wewe huyu [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787]Umejianika vibaya, wacha nipigie UN office Nairobi, unachezea kazi wewe
Nairobi inapendeza[emoji95][emoji95][emoji95]
Amkeni amkeni wandugu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Bado njian[emoji846]View attachment 1802160
Leo Nairobi inashindana na Dodoma [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Don't get twisted
Hiyo iyumbu satellite city kwa hizo quality za nyumba kwa huko Kenya ni very expensive lakini FYI hizo nyumba zote tayari zipo booked (nitakuwekea video) na ukiambiwa zimeuzwa bei gani kwa pesa ya Kenya ni very cheap
So hizo sio dream houses wala wealthy neighborhood kibongobongo
Dream houses za Dodoma ni kama hizi hapa, ambazo saivi zinajengwa kama uyoga huko Dodoma
Ss hii ndiyo saizi ya Nairobi, kwamba mtaanza kupambana na Dodoma cz Dar ni level ingine, Nairobi ni Kenya na Kenya ni Nairobi tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kijana wa Tandale, organised residential areas nimeona Nairobi hadi nikachoka. Hiyo sehemu pakavu ni pa kumpa nani orgasm wakati tumezoea mandhari tulivu kama hizi in gated communities?
View attachment 1802166View attachment 1802167View attachment 1802168View attachment 1802169View attachment 1802171View attachment 1802172View attachment 1802173View attachment 1802174
Pandeni angalau nyasi kwenye hilo eneo ndio mje kwenye meza ya mazungumzo!
Jamaa wako hoi hutawaona humu wiki nzima wako na maumivu makali sana,vitu kwa ground ni tofauti kabisa halafu ndo downtown!!!!Chaaah!.Shebby01 popote ulipo juwa kwamba una ulinzi wa kutosha kabisa, ona ulivyoumiza hizi kima [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ana mlupo hko ndio kila wakati lazima ashukie hko kwnza, we hujiulizi mbona kila wakati downtown[emoji1787][emoji1787]na ukiona picha ni za sehemu nyngine basi ujue yupo kw gari la wenyeweHuyu usishangae analala kwenye zile guest houses za River road that have been run over by commercial sex workers
Nlikua na bro wirlee nae namsubir atwange ma foto ya upande ule mwingine sababu mda ni mchache narudi home soon nime miss wali kisamvu🙂niliwahi pita hiyo sehemu ni kuchafu mpaka sana,,,naona hapo ni mwendo wa githeri
Hii hapa ya 2021[emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Linganisha hiyo blog na hii list ya Forbes kisha urudi. Angalia ni jiji lipi limeshikilia nafasi ya 12 kwenye hiyo list ya miji chafu duniani
Jiandae picha za kariadudu na kasabuni kariobangi na korokocho ziko njian🙂Kaka usiache kitu wameanza kujitetea huku [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ona vile ulivyokua mbumbumbu sasa, kwn chef sio taaluma[emoji1787][emoji1787]kenge wewe..Kisa kapost picha ndio uwapigie UN haaàaaa wakenya bwana mnapenda kujipendekeza sana . Kuna mmoja mpishi yupo bongo kwenye taasisi moja basi anapenda kujisifia alikua mpishi South Africa na nchi kadhaa afrika. Naishia nimeangalia yaani kupata exposure kote bado unaendelea kutumikishwa jikoni ? Si angefungua hata restaurant yake . Mpishi wa kikenya akiitwa chef anaona raha
Sent using Jamii Forums mobile app
Kinyaaa🙄niliwahi pita hiyo sehemu ni kuchafu mpaka sana,,,naona hapo ni mwendo wa githeri
Bado anatafuta tu pa kupiga picha[emoji1787][emoji1787]Kaka usiache kitu wameanza kujitetea huku [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
😀😀😀😀😀[emoji1787][emoji1787][emoji1787]nairobi bila make up ni yakiboya sana,,,,jiji la nairobi ni lahovyo hovyo,,,