Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Bwana Shamba wa Kericho, master of field from Kericho [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji117][emoji117][emoji90][emoji90][emoji205]
 
Nimekuwa naangalia tu unaongeza Figures ..mzee mama ..100 to 119bn usd
[emoji1787][emoji1787][emoji1787].. Tz GDP imf 65Bil usd Kenya 99Bil usd .. 2019 Tz 63bn Kenya 95bn
Huyo uzazi umemrudisha nyuma kiupeo, ana mtoto mchanga ananyonyesha huyo mpuuzeni tu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Ni mali binafsi ya muhindi jeevanjee, serikali ya jubilee imekutapeli kwamba ni public project
 
nimecheka kweli mkuuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
huyo jamaa ni kiazi
 
Ni mali binafsi ya muhindi jeevanjee, serikali ya jubilee imekutapeli kwamba ni public project
Wewe ni wa kupuuzwa tu. Kwa hivyo ile iliyokamilika ya Park Road Ngara pia ni ya 'jevanjee? Na huyu 'jevanjee' unayemtaja ni nani?

The only jevanjee I know, (who Nairobi's Jevanjee Gardens is named after) died long before your father was even born!

This project got that name because the area where it's being constructed was known as Jevanjee estate, the other one being Bachelors estate. These two were demolished to give way for this project. Again, nga'ang'ana polepole na maisha yako ya dreamhouse uswazini
 
WEWE PIMBI UPO?
 
Tulikuwa tunatetea Wakasema Ohoo!!! legacy haitetewi.....haya Sasa imeanza kujitetea yenyewe....ni suala la mda tu....
 
Reactions: nao
Huyo mchuma chai kwani sie hatuwajui nyie??..msomi gani kutwa kupiga broken English..unataka ushahidi!!
broken english gani mimi.. toa ushahidi ata moja fala hii. uwivu wenu waTz tuwaitambua. sema haukuitimu chuoni na hauna kazi ya maana ndo hilo kakuuma sana. meza wembe basi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…