Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Endelea kujidanganya na huku ukijua ukweli kuwa mambo kwa ground ni tofauti sana.
Poor jaluo.
Hakuna ukweli mwingine kushinda hii hapa.

Kama inakuuma sana peleka malalamishi yako African Development Bank
 
Naona povu unazidi kutoka vile nilikuambia. Karen is six times bigger than mswaki wa apartments na ni moja ya mitaa bora hapa duniani.
Najua inakuuma sana ila pole, utazoea tu πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Wacha ubishi, leta post ya news zozote za hiyo issue. Unarukaruka nini sasa? πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
uuuuuuuuiiyhh!!😫😫 ata nta piga nduru hapa........... kericho is my 'home town', mTz mgani anaongea vibaya kuhusu hapa.. atapata kichapo cha umbwa
 
Naona povu unazidi kutoka vile nilikuambia. Karen is six times bigger than mswaki wa apartments na ni moja ya mitaa bora hapa duniani.
Najua inakuuma sana ila pole, utazoea tu πŸ˜‚ πŸ˜‚
πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ inaniuma mm au ukiambiwa ukweli unapanic siku karen na ushuzi wote combine zote mupate hii density alaf nitag

utabakia kupost estates wakat owners ni wale wale tu au nasema urongoooo
 
Hahaha, I knew it. Hiyo blog ya Afrikan Traveller akionyesha workers quarter's. But ulidai wamepewa bure, and you haven't shown me proof of that. Nionyeshe pahali imesema wamepewa bure kama ulivyodai mkuu. Those are just workers quarter's within the farms premises. Sijui unanielewa??? πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
BTW, hata ukiwa nchi za nje nyingi especially za kiarabu, wengi hupewa accommodation my friend, nothing new about that.
 
Kenya ni masikini tu kama waafrika wengine...usijidanganye
 
Sishangai maana ukiweza kurent bedisita kenya automatically unakuwa categorized kama mido inkamu.
🀣🀣🀣🀣🀣 na hio ndio akili yao iko kichwani hana ndoto ya kumiliki plot wala nyumba kwasababu iko mikononi mwa wachache

mwengine anashangilia nusu ya nairobi kua pori wakat pori lina wenyewe wanasubiri fursa tu🀣🀣🀣🀣
 
So you are richer than russia??!
 
ata nta piga nduru hapa........... kericho is my home town, mtu asijaribu kuongea mbaya hapa. less apate kichapo cha aja!!..
πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£ tulia urambe dawa mzee
 
Sasa unakataa au unabisha ??
hvi ww unafkiri hapa utanidanganya mm 🀣🀣🀣🀣 hio mada siunaona wenzako wamekaa kimya au hujaelewa
hebu ongea mbaya kuhusu kwetu uone.............
 
πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ unataka chai iwe pombe au
 
uuuuuuuuiiyhh!!😫😫 ata nta piga nduru hapa........... kericho is my 'home town', mTz mgani anaongea vibaya kuhusu hapa.. atapata kichapo cha umbwa
Anadai workers quarter's za Kule kwa tea farms wamepewa bure hizo ghetto, as in permanent residents! 🀣 🀣 🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…