Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wanakamuliwa left, right & center [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wanakamuliwa left, right & center [emoji23][emoji23][emoji23]
70% wako kwenye slums hawana ndoto na maisha alaf 15% wapo besitter wakijiita middle class 🤣🤣🤣🤣 waliobakia sasa ndio familia za politicians, investors na baadhi ya wafanya biashara wakubwa kubwa
 
Juzi nilimshangaa Msukuma ati kupinga viwanda vya dhahabu kuwa nje ya Geita! Sasa nikajiuliza tukianza mtindo huo basi tutafika mahali hata kulazimishana nini cha kulima kwenye kilimo! Dhahabu Tanzania ipo sehemu nyingi Mara mpaka Chunya mpaka Dodoma mpaka Singida pia Mtwara. Sasa sijui itakuwaje kama gold refineries zitakuwa Geita tu?
 
Yule nae wakat mwengine kisomo ni muhimu sana 😀😀😀
 
70% wako kwenye slums hawana ndoto na maisha alaf 15% wapo besitter wakijiita middle class [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] waliobakia sasa ndio familia za politicians, investors na baadhi ya wafanya biashara wakubwa kubwa
Wanaumia kwa ground ila wakiwa humu jamiiforums wanajitutumua [emoji23][emoji23][emoji23] uzuri tunafahamu tabia zao.
 
Wanaumia kwa ground ila wakiwa humu jamiiforums wanajitutumua [emoji23][emoji23][emoji23] uzuri tunafahamu tabia zao.
Wakiwa twitter wanalia huko wakija hapa wanajitia wazalendo kwneye hamna🤣🤣🤣
 
Karen unafananisha na masaki 🤣🤣🤣 mwenzako anakwambia area ilikua ya whites then ikachukuliwa na wajanja wachache wakajenga estates na kuwakodishia matajiri 🤣🤣🤣 tukikwambia leta dream house za matajiri wenu waliojenga wenyewe hamuna, munaanza kuleta habari ya dream car
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…