Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mm sijui hebu wewe tueleze estate ni nn?? Na nani wamiliki wa hzo estate ukipata majibu naomba unitag bila hasira 🀣🀣🀣
 
So who own them? Manake wanaomiliki hzo estatea wanajulikana waliobaki kazi yao ni moja kurent and nothing else au mm nasema urongoooo🀣🀣🀣🀣🀣 sio lazma nyumba zifanane sasa kwann zinafanana?? Yani unajiweka kidole alaf unanusa, serious??😁
Au unalazmisha pombe iwe chai???
 
Mm sijui hebu wewe tueleze estate ni nn?? Na nani wamiliki wa hzo estate ukipata majibu naomba unitag bila hasira 🀣🀣🀣
Umeonyeshwa na kuelezewa tangu mwanzo, pia wanaboda boda wamejijengea residential estate umepinga sasa unatakaje dogo?.,πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜‚., Unalazimisha mtazamo wako na fikra zako, hausaidiki kamwe, lakini watanzania wamejua ukweli propaganda na porojo tumeuwa na kuangamiza with undeniable facts, wenye maumivu kama wewe ndio mnatapatapa humu baada ya kuumbuliwa.,πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ushajiamulia kile unataka kuamini, pengine kiandikwe ndani ya Quran, ila najua bado utapinga tuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.,
 
So kunyan uchumi wenu uko sawa na japan?thamani ya pesa na uchumi vitu viwili tofauti nyie nyang'au

View attachment 1798768
ok!.. 1Ksh=1Japanese Yen..
think mna try sana kutafuta mahali kuna upungufu/weakness. uwivu ya waDanganyika tumezoea.. lakini hizo values iko na maana kwa ku exchange na Major foreign currencies, Pounds, Dollars, Yen, Dousch mark, Rand, Francs, Dirhams, for instance Ethiopian Birr, or SA Rand or Kenya Shilling is easily accepted by MasterCard or VisaCard than your bogus shilling $1=Tsh2,399😝😝😝
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ We unaongea kuhusu nini wewe.? πŸ˜‚πŸ˜‚ Huyu anawatia aibu wakenya wenzake .. usilazimushe tukuite mpumbavu
 
Hapa umetoa boko kinoma πŸ˜‚πŸ˜‚ aah kwa akili hiz napendekeza uende uliposomea ukaombe urudishiwe ada yako πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ .. kwanza nani kakwambia kwamba nyie mna export sana kuliko sisi ikiwa chakula tu mnaomba omba misaada πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hujajibu swali,kunyan shilings na japan yen almost value yake iko sawa,kwa mujibu wa kunyan uchumi wenu vizuri sababu ya thamani ya currency yenu,so ndio nikauliza sababu pesa yenu inaendana na ya japan so uchumi wenu unalingana na japan?kuna nchi maskini sana lakini pesa yao ina nguvu kuliko yen
 
Mjinga kakwepa swali anaanza kuleta debate ya uongo πŸ˜€πŸ˜€,nchi yao ndio nchi pekee inayopokea msaada wa chakula mpaka hii leo halafu wanajifanya wanajiweza pumbavu πŸ˜€
 
Mjinga kakwepa swali anaanza kuleta debate ya uongo πŸ˜€πŸ˜€,nchi yao ndio nchi pekee inayopokea msaada wa chakula mpaka hii leo halafu wanajifanya wanajiweza pumbavu πŸ˜€
Huyu ni kawaida yake mumzoee tu 🀣🀣
 
🀣🀣🀣🀣🀣 yani ukimsikiliza mkenya unaeza sema ni nchi iko europe ngoja ukutane na mambo kwa ground congo ina nafuu
Mijamaa iko nyuma sana wakati ndio maana full kujikweza kutana nae sasa mjikweza 🀣,mkunya wa humu kila mmoja ana nyumba,gari kishaenda ulaya,anajua kila kitu kutana nae sasa 🀣
 
Sasa unataka niamini kitu nakijua ama ni vipi?? Hvi wewe utanifundisha nn maisha ya kenya au kuna kitu gani sikujui kenya ??
hvi ww ni mkenya gani hajui kwamba arshi kenya ni ndoto ya mchana kwa wakenya wengi?? Au ni mkenya gani hajui ardhi kenya imeshikwa na wachache na wanajulikana nani asiejua, najua ni ngumu kuongea na kukubali hadharani but inside ur heart najua inauma lakini hakuna cha kufanya, ardhi ni shida kubwa sana kwa wakenya na hili sio la kufucha bro 🀣🀣🀣🀣 najua unanichukia sana kisa natoa chupi zenu hadharani lakini sio ya kuficha dunia ishabadilika Yale maisha yakujisifia uongo yalishapita
 
Jamaa iko nyuma sana wakati ndio maana full kujikweza kutana nae sasa mjikweza 🀣,mkunya wa humu kila mmoja ana nyumba,gari kishaenda ulaya,anajua kila kitu kutana nae sasa 🀣
Wanajaribu kuficha aibu zao kwa uongo hawajui dunia ilipo sasa hvi hata sokwe huwezi mdanganya 🀣🀣🀣🀣
 
Kwamba karen ni estates na wamikiki wa estates kenya wanajulikana sasa unataka nn tupige hesabu za ramli ama??🀣🀣🀣🀣 hasira ya nn budaa kama ndoto huna huna tu
Huku nilipo na jamaa wa kikunya najuana nao,miaka ya nyuma baadhi walikua wakirudi kunyan lazima waje dar kutembea,watafika kwangu hata kama nipo huku,wengine ufikia hapo kabisa,msa kuna aunt yangu yupo huko miaka na miaka kuna macousin wangu nrb,msa,mpaka lamu huko,sasa mimi nikawa kila nikienda msa wale wakunya wanaokujaga dar na kufikia kwangu hata kama mimi sipo dar nikiwa msa wananikwepa 🀣,wengine kama zali wanakua hapo hapo msa lakini tunakutana town au waje nilipofikia kwa ndugu zangu,aunt yangu akanishtua hao kwao kuko ovyo tofauti na unavyowadhania hawawezi kukuonyesha kwao 🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…