Standard charterd bank source??π€£π€£ Ndio wamekua na kipimo siku hziSio sisi tunasema. These are facts. Jinyonge basi kuhusu hiliπ π π π
View attachment 1798711View attachment 1798712
Middle-class yetu ni mara mbili zaidi ya yenu na bado unapata nguvu ya kutoa povu!
Unapoongelea ukubwa uongelee na density iliosimikwa ndio maana nakwambia masaki ni kubwa sana na iko more density au pia unabishaRessoning yako ni ya kijinga sana. Hiyo forest iliyoko Karen ni gani? Hebu itaje kwa jina. Na hizo mashamba zinaitwaje ?
Imepunguza njaa kenya??π€£π€£π€£1Ksh=21Tsh...........
Watoto wanaojifunza kuandika ndo huwa wanapewa tender ya kuviandika [emoji23][emoji23][emoji23]Na hilo namba plate katengeneza fundi Jiko [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Let me assist you since wewe ni semi illiterate as u have proven alreadyππ., investors wa real estate hardly put their properties for rent, very few do for specific reasons, but majorly they don't because it takes on average 10 to 15 years to break even if one rents out a property, before starting to make any profits, ndio maana real estate companies build to sell, quick returns, na ndio mtindo globally, Tanzania bado nchi ya kishamba, nyumba za kishamba kila kona, mshamba kama wewe ukiona anything organized from Kenya unafikiria maisha ni kama za kule kwenyu, wenye hela wanakodisha organized estates in Tanzania nyie wengine mnajenga kiholela na kuishi hivi ππ90% of sq kmJibu swali zisipouzika investor anafanya nn?? Manake biashara ya kurent haohao wamikiki wanaipenda sana kwasababu inaingiza pesa za rent na bado estate inabaki kua yake π€£ au mm nasema urongooo
Najua elimu yako ni duni ila bado nakurudisha tu pale pale. Do some research on market analysis. Utajiona mjinga sana kuuliza maswali kama haya baada ya kufanya hivyoJibu swali zisipouzika investor anafanya nn?? Manake biashara ya kurent haohao wamikiki wanaipenda sana kwasababu inaingiza pesa za rent na bado estate inabaki kua yake π€£ au mm nasema urongooo
Utalia hadi basi sokwe mtuππππ.,Slum dwellers wanachangamka, not just boda boda riders alone, give them next few years.., aggressiveness πͺ.sio uzembe na hadithi za vijiweni.,
Hii siasa tulishaisikia 10 yrs ago kipindi cha kibaki achilia mbali uhuru π€£π€£π€£π€£
Asante kwa picha za google π€£π€£ sikutegemea hasira kama hzi ardhi nikitu cha thamani sana kenya unajua kwann kwasababu inakilikiwa na wachache, ndio maana mtu kujenga estates akapangisha hana hasara kwasababu pesa inaingia na ardhi inabaki kua yake na kila siku ardhi inapanda thamani kutokana na population kua kubwa na ardhi kuzidi kua chache na adimu πππ sasa investor wakiekeza anakua hana njaa kama wewe kiazi yeye anaekeza akijua pesa itaingia na ardhi itakuwepo akisubiri future generationsLet me assist you since wewe ni semi illiterate as u have proven alreadyππ., investors wa real estate hardly put their properties for rent, very few do for specific reasons, but majorly they don't because it takes on average 10 to 15 years to break even if one rents out a property, before starting to make any profits, ndio maana real estate companies build to sell, quick returns, na ndio mtindo globally, Tanzania bado nchi ya kishamba, nyumba za kishamba kila kona, mshamba kama wewe ukiona anything organized from Kenya unafikiria maisha ni kama za kule kwenyu, wenye hela wanakodisha organized estates in Tanzania nyie wengine mnajenga kiholela na kuishi hivi ππ90% of sq km
Housing standards za nchi ya Muungano wa Tanzania hizi hapa, sio slums kama ilivyo kauli yenyu but "owned" by Tanzaniansπππ Mimi najua in Dar more than 70% wamekodisha wanatafuta maisha., umasikini ndio wimbo.., can't afford standard housing.,
View attachment 1798738
View attachment 1798739
View attachment 1798740View attachment 1798741
View attachment 1798722
View attachment 1798726
Wewe kilaza kweli, Tanzania ni masikini kiwango hii kuona kitu mzuri, tena kwa wingi ni ya wanasiasa πππ., limasikini kweliπππ., tokeni porini., sasa Eldoret mzima ni ya politicians because iko na organized residential sehemu nyingi tuπππππ Mko pabaya, kumbe Magufuli hangewakomboa, pengine mama atajaribu., ππππLabda zinunuliwe na watoto au familia za politicians π€£π€£π€£π€£ wengine subirini bedsitter murent alaf kesho muje museme nasisi middle class πππ mutaota ndoto za alinacha kuwaza kumiliki plot mpaka dunia iundwe tena
π€£π€£π€£ mm nilie nimetaja wawili unaeza endele kutaja na wengine wakina sonko na kidero sijui ππππUtalia hadi basi sokwe mtuππππ.,
Elimu yangu iwe duni au sio duni madamu kinachoongelewa kina aksi ukweli basi kichukue kikusaidie hataka kama utafucha upupu haitasaidia π€£π€£π€£π€£ mm nimekuuliza na wala hili halikwepeki investor wengi hawana njaa kama unavofkiri na wala hakurupuki ovyo ardhi ni kitu cha thamani sana na kinapanda thamani kila baada ya saa moja ππππNajua elimu yako ni duni ila bado nakurudisha tu pale pale. Do some research on market analysis. Utajiona mjinga sana kuuliza maswali kama haya baada ya kufanya hivyo
ππππππ Yakikusaidia chukuaNajua elimu yako ni duni ila bado nakurudisha tu pale pale. Do some research on market analysis. Utajiona mjinga sana kuuliza maswali kama haya baada ya kufanya hivyo
Asante kwa picha za google π€£π€£ sikutegemea hasira kama hzi ardhi nikitu cha thamani sana kenya unajua kwann kwasababu inakilikiwa na wachache, ndio maana mtu kujenga estates akapangisha hana hasara kwasababu pesa inaingia na ardhi inabaki kua yake na kila siku ardhi inapanda thamani kutokana na population kua kubwa na ardhi kuzidi kua chache na adimu πππ sasa investor wakiekeza anakua hana njaa kama wewe kiazi yeye anaekeza akijua pesa itaingia na ardhi itakuwepo akisubiri future generations
ndio maana mulipokua munashangilia nusu ya nairobi ni misitu tuliwaambia hio misitu munashangilia ni mali za watu wako kimya wanasubiri fursa tu zikifika wanafanya mambo yaoπ π
mzee ukweli utabakia pale pale kua wakenya wengi hawana ndoto ya kumiliki plot nairobi na hili liko wazi haliitaji ramli hata kama utanichukia haisaidiiiπ π π π
Woooi zile 5000mw ndio zinatekelezwa RIP JPM ulifanya kazi yako vyema mhSoft loan asanteni[emoji116][emoji116][emoji116]
πππ Tenah,. Hakuna sehem ambayo ni unpaved hapo hata moja, Nina video ya two years ago mkononi inayoonesha hiyo mitaa na ntaiweka hiyo vid humu ndani siku mkijitia vichwa ngumu, nawaacha kwanza mpige kelele mingiNaona mnajaribu kutengeneza tengeneza ila bado. Most are still unpaved.
πππππ., Unajua sehemu ambapo shamba za hawa hayati ziko kweli? ππππ., nilikuambia wewe ni semi illiterate, naona ukishuka hadi illiterate sasaπππππ., Moi mkulima, Kenyatta shamba zake kubwa ziko sehemu za pwani na ni undeveloped πππππ., unajaribu kulazimisha fikra zako lakini wapi., So all organized residential in Kiambu, Thika, Machakos, Arthi River, Kitengela ni za Moi na Kenyatta., Pia Eldoret, Kisumu, Mombasa, Kakamegaππππ., Unatia huruma na kuleta aibuπππ.,Nateseka kuona wapi?? Mm nawajua vzr sana nyinyi hata sasa hvi munanichukia sana kwasababu naanika musiotaka yajulikane au naema urongooooππππ kwan majority of plots zinamilikiwa na kina nani hebu wataje basi bila hasira
Mm naanza na hawa π€£π€£ππ endelea na wengine
View attachment 1798709