Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,175
- 107,756
wewe naona mdomo umejaa mavi sasa, Fumba Town inajengwa na kampuni ya Kikenya? Si ya Kijerumani? Na Bakhresa Group imekuwa Kenyan?Fumba Town ya Zanzibar inayojengwa na Kampuni ya Kikenya is the only thing close to an estate with roads - alafu roads zenyewe tu ni zenye ziko within the gated community - outside hakuna access roads. 🤣🤣🤣
In real estate kenya yyte anaweza jiingiza, km mpka akina akothee na jaguar wanafanya sasa...au ilikua unamaanisha hao pia[emoji1787][emoji1787]Na wenye project wa hzo estate ni wale wale wanajulikana niliwataja jana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hta mbezi kuna sehemu barabara mbovu kishenziOyster Bay is your best. Kama your best has no paved roads sasa zingine zitapata wapi? [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Dream houses ulizopost ndio hizi hapa. Nionyeshe lami. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
View attachment 1798021
Yaani hivi developer akijenga nyumba alafu aniuzie hiyo nyumba inakuwa ni yake ama yangu? Kuna kitu sielewi kwa Logic ya hawa wabongolala.In real estate kenya yyte anaweza jiingiza, km mpka akina akothee na jaguar wanafanya sasa...au ilikua unamaanisha hao pia[emoji1787][emoji1787]
Real estate ndio big thing sai kenya, ukiwa na hela unajiingiza katika hayo mambo na unakula mgao wako vizuri baada ya kampuni kufanya kazi..
Hisa ndio kila kitu mzee
Machungu yao kwann hatuchori ramani wnywe tunawaachiwa wataalamu watufanyie kila kitu alafu mwisho mtu unakuja kuingia kiulaini bora ulipe hela zakoYaani hivi developer akijenga nyumba alafu aniuzie hiyo nyumba inakuwa ni yake ama yangu? Kuna kitu sielewi kwa Logic ya hawa wabongolala.
Niliona video fulani Youtube mzungu fulani akionyesha the richest neighborhood in Dar nilicheka. Yani richest neighborhood lakini barabara za Umoja zimeishinda. Vumbi tupu. Ebu Tazama video - Ati sasa hiyo ndio Muthaiga yao. 🤣 🤣 🤣Hta mbezi kuna sehemu barabara mbovu kishenzi
Hawajui hapa Nairobi bora uko na doo utapata hao unataka. Ukitaka swimming pool, hot water pool, 7 bedroom - whatever you want and you get to choose which neighborhood you'll buy na pia ukijiskia kujijengea utajijengea tu.Machungu yao kwann hatuchori ramani wnywe tunawaachiwa wataalamu watufanyie kila kitu alafu mwisho mtu unakuja kuingia kiulaini bora ulipe hela zako
waTz kiundani kabisa wanajua vizuri sana kenya imepiga hatua zaidi ya nchi yao, ila wao kukubali itakua show. ata mwl nyerere aliwahi taja kenya kama uzunguni ama ulaya. na nairobi eti londonNashangaa sana na wengi wetu hapa watanzania mnataka kuilazimishia kenya umasikini kila saa kibera afrika nzima hakuna nchi utasema inaeza kujisamamia tuna changamoto sisi sote. Watanzania hapa wakiongea utadhani nchi yao ni marekani au ulaya na Kenya ni Burundi. Lakini ukweli wa mambo natumia kila mmoja anajua hali ilivyo katika nchi yake. Kubali hali yako ushughulike kuunda maisha yako sio kupiga kelele hapa ukimdhulumu jirani yako eti masikini ilhali wewe pia hata maisha yako binafsi haina muelekeo.
Unahangaika sana kijana wa Tandale. Kubali hamna chochote hapo fishing village. Hata uzoom hadi utuonyeshe vumbi haitabadilisha chochote kwamba hizo sehemu mbili ni kama ardhi na mbingu.Zinanunuliwa na nani??? Nani ananunua au unatuambia habari ya kurent ??🤣🤣🤣 na wamikiki wa hizo estates utaskia ni wale wale wa kila siku au mm nasema urongo
Wacha tuzoom sasa👇👇👇🤣🤣🤣 tuone kwann mzungu asiwe na akili
View attachment 1797980View attachment 1797984
Unahangaika sana kijana wa Tandale. Kubali hamna chochote hapo fishing village. Hata uzoom hadi utuonyeshe vumbi haitabadilisha chochote kwamba hizo sehemu mbili ni kama ardhi na mbingu.
Hii swali ya nani wananunua nyumba unauliza kila siku na nikikuuliza kama kuna watanzania wananunua hizo nyumba na sio wakenya unatoa povu. Nyumba zinanunuliwa na wakenya. Kama hakungekuwa na wanunuzi hazingekuwa zinauzwa in the first place. Ndio maana kuna siku nilikuuliza kama unajua kitu kuhusu market analysis but ulishindwa kujibu. Piga kelele utakavyo kutoka dreamhouse yako hapo Tandale but haitozuia wakenya kununua nyumba. They are there for sale and Kenyans will continue buying them
Achana na hawa malazy wa south waendelee kujenga shanties na kuziita dreamhouseHawajui hapa Nairobi bora uko na doo utapata hao unataka. Ukitaka swimming pool, hot water pool, 7 bedroom - whatever you want and you get to choose which neighborhood you'll buy na pia ukijiskia kujijengea utajijengea tu.
Weka evidencewaTz kiundani kabisa wanajua vizuri sana kenya imepiga hatua zaidi ya nchi yao, ila wao kukubali itakua show. ata mwl nyerere aliwahi taja kenya kama uzunguni ama ulaya. na nairobi eti london
Hata morocco sq should be in the list
Kelele yako hapo Tandale won't change anythingMnanunua au mnapangishwa nyosha maelezo mzee 🤔