Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Jamaa si umepanic jamani[emoji1787][emoji1787]
Una makasiriko yasiyofaa aisee, kwhyo hutaki private developer aende katika mipango miji apewe ardhi ainue vitu vyake kw ajili kuwekeza alafu auze kw aliyeridhika pia hutaki[emoji1787][emoji1787]

Runda hyo imejengwa, haya tuambie km hyo nyumba asilimia kubwa hawatotamani kuinunua na kuishi mzee..
Yani imejengwa katika eneo la kueleweka, then ina space ya kutosha..
Tatizo wengi wanaopinga hzo nyumba bei zake hawazimudu, km wewe tayari hyo bei mpka ukaafe hufikii[emoji1787][emoji1787]
 
Hiyo hapo moja

 
Kwani Elon Musk amekuja Kenya? Au lazma mtu tajiri yeyote aje Kenya? Changamka basi, usiwe boya hivyo! 🀣 🀣 🀣
Bill and Melinda Gates in kenya before they divorced basi, Dangote ni kiraka gani!?..
 
ndiyo maana huwa hampost sababu mna madudu...

toa uchafu endeleeni kupost estate over
 
Wamarekani wanazidi kuteka soko la real estate Tanzania πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Wanakariobange hakuna mwenye shughuli na nyie? Hivi mmepigwa mkosi na nani? πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

 
mzee utakufa kwa presha

ndiyo maana huwa hampost sababu mna madudu...

toa uchafu endeleeni kupost estate over
 
Hawa wamarekani watakuja kupanga mpaka huku buza miezi michache ijayo aswea πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Madalali wa buza mkae mkao wa kuongea kimarekani πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

 

Mostly foreigners ndio wanapangisha kwenye izo apartments sio wabongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…