Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unaongelea UN premises, hehehe Runda Kuna fully-owned residential pia. πŸ˜‚
 
Mkipewa facts za ukwei hamutaki munataka musifiwe upupu 🀣🀣🀣🀣 lini ww umenifungua mm macho ?? Lini na wapi? Utanifundisha nn kitu labda tuanzie hapoπŸ˜€

wanamiliki estate wachache wakiwemo politicians alaf stress zenu mutuletee humu ndani 😁😁😁😁😁
 
Hajui wale jamaa ni waanzilishi tu, lakini nyumba ziliuzwa kwa watu binafsi na organizations. Pale ndani za ku rent ni kidogo sana especially za NGOs and other international branches.
Kwanza mpeni mafunzo kidogo ajue neno Runda ilikujaje. Anajua chimbuko la hilo jina Runda?
 
Hajui wale jamaa ni waanzilishi tu, lakini nyumba ziliuzwa kwa watu binafsi na organizations. Pale ndani za ku rent ni kidogo sana especially za NGOs and other international branches.
Ziliuzwa na nani leta ushahid kua zimeuzwa ukipata nitag mm 🀣🀣🀣🀣 hao hao waanzilishi ndio familia zao zinamiliki mpaka kiyama kwani nani asiejua kua ardhi nairobi inakilikiwa nawachache 😁😁😁 alaf munasifia kuona misitu wakat misitu yenyewe ina wenyewe na wanasubiri wakat ufike🀣🀣🀣
 
Watu wanamiliki majumba ndani ya Estates, watu wote hawawezi kumiliki Estate. Uko sawa kweli, au umepiga bapa la K-vant? πŸ˜‚
 
Mostly they are driven by hate, jealousy and ignorance, wamelishwa propaganda kuhusu Kenya wakiona evidence wanapinga tu without any substance kwa ajili it does not agree with their skewed reasoning and corrupted mind., especially ichoboy01, jama ako na schizophrenia and he is likely suffering from bipolar, read his reasoning and argument, nimeanza kumuelewa huyu, he can't accept Tz is way below Kenya in many fronts., screaming facts atapinga so long as they don't agree with his skewed mindset, anashikwa na hamaki, signs of bipolar πŸ˜‚ and blind patriotism tu. Most Tanzanians ata kwa YouTube ni haters, they must have been hoodwinked by their politicians and clueless leaders.
 
Najua kiingereza huelewi lakini niambie ni wapi pameandikwa kwamba they own Runda estate. The keyword is 'own'. Leta tuone
 
Ukisema ujamaa kwanza hate unaiweka pembeni kabisa maana ya ujamaa maana yake ni kuishi maisha ya pamoja kusaidiana kwa pamoja ndio maana ya ujamaa, chuki inaanza kwenye kupishana kwa vipato na hate iko kenya kwasababu majority ni maskini alaf wachache ndio wameshika mpini

na mlivo wajinga hua munapenda kusifiwa kwa vitu hamuna ili muonekane muko mbali kumbe mambo kwa ground ni ushuzi wa popo bawa πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„

Mm nikisema hapa munanichukia kwasababu natoa siri zenu wengi walikua hawajui na mbaya zaidi chuki zenu zitanisaidia nn ??🀣
 
Watu wanamiliki majumba ndani ya Estates, watu wote hawawezi kumiliki Estate. Uko sawa kweli, au umepiga bapa la K-vant? πŸ˜‚
A sick headπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚., wacha atuburudishe na hizo fikra zakeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ abunuasi la kutoka keko Dar.,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…