Hawa ndio wanashindana na dar [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116]View attachment 1795662View attachment 1795663View attachment 1795664View attachment 1795665
Kwa hesabu hizi nimeelewa kwanini 95% ya wakazi wa nrb wanaishi kwenye slumsHebu tufanye hesabu rahisi tu πππ
Dar city is 1690km sq tukumbuke dar hakuna national parks bali kuna marine reserves π π π π π
Nairobi is 696km
Haya tuanze kwa pamoja 696km sq minus 117km sq nairobi national park = 579km sq
Hapo hatujatoa misitu isiohesabika ni over 150km sq
tukitoa tena tunapata 429km sq ambayo ni sawa na kinondoni district alone π€£π€£π€£
View attachment 1794513
View attachment 1794517
Jamaa unapata tabu sana yn mpk unaokota picha za mtandaoni, Nicxie hizo picha co za Tz usifosi tuwe km nyie mkuu unajiumiza bure, hakuna mazingira km hayo Tz [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Dreamhouses katikati ubora wao [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Eti ooh...sisi tunamiliki dreamhouses zetu Dar. Unamiliki dream house ama shanty?
View attachment 1795690View attachment 1795691View attachment 1795692View attachment 1795694View attachment 1795695View attachment 1795697View attachment 1795698View attachment 1795699View attachment 1795700
Alafu unasikia kilaza fulani akikejeli sehemu kama Ridgeways wakati yeye anaishi sehemu kama hizi!
Anakwambia CBD ya New York nayo ina pori km la Nairobi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sina tatizo na Nairobi ila mmezidi sana kuipamba,too much talk about greenery ya kwny miji mikubwa ni parks na miti inayopandwa pembezoni mwa barabara na pengine michache katika majengo ili kuleta vivuli plus kwenye rivers ili kuzuia soil erosion na sio machaka ya vibaka tofauti na hapo ni forest zinazopatikana nje kbs ya mji ili pia mji upate kubreath.
Uchafu ni jadi ya Wakenya.Naona ofisi za NMG na mbona hawakemei uchafu kuzunguka ofisi zao?
Tatizo umepanic unaanza kuokota picha, ngj nitulie nikuumbue na hizi picha ulizoweka uki claim ni za Tz [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Afadhali misitu kuliko uswazi. Mtu akiambiwa achague sehemu moja ya kuishi kati ya hizi sehemu mbili unafikiri atachagua wapi? Misitu ama uswazi? [emoji23] [emoji23] [emoji23] View attachment 1795703View attachment 1795704
Mbn umeacha kujivunia na slums? Huzipendi au? Jivunie vyote pori na slums pia, usizitenge slums zimekulea [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Angalia kwanza machaka ya Johannesburg ndio uje utoe povu ndoo nzima
View attachment 1795709View attachment 1795710View attachment 1795711View attachment 1795713
Sisi tunajivunia greenery ya nairobi, and many other people do. Nyinyi pia mjivunie tu uswazi wenu, hatuna shida na hilo. Kila mtu anavuna tu alichopanda.
Kupost vinyumba moja moja ni upumbavu, tupatie jina la eneo tukaigoogle tuione.Jamaa mbona mnapenda kukaza fuvu eti unataka ariel view unapewa vitu kwa ground bado unataka kupanua goli ushinde wewe
Tutaona estates za kurent na sio nyumba ya dream ya mtu mmoja mmoja hio haitakaa kutokea π€£π€£π€£π€£ nimekuuliza swali langu limekua la moto
huna chakutuonesha sisi zaidi ya estates za investors and politicians wachache ambao wamewekeza kwenye ardhi kubwa kubwa ili nyinyi wapuuzi musio na dream za plot maisha yenu mubaki kuwaza nyumba za urithi ushagooπππ
π€£π€£π€£π€£πππππ hua kwenye mada hamutoki
Nothing unusualππPakawaida ukimaanisha nn...A B C ?
Hasira hizi ππππππ usitulaumu kwa ujinga wenu, use this energy to post dar majority estates.Hapa ndio pazuri, Wakenya leteni picha wanapoishi Wakenya wa maisha ya kawaida tofauti na hizi[emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1795552View attachment 1795553View attachment 1795554View attachment 1795555View attachment 1795556View attachment 1795557View attachment 1795559View attachment 1795560View attachment 1795561