Nikuulize swali kwann nusu ya nairobu ni misitu ??? Unaeza nijibu hilo swali kwa umakini wa hali ya juu??🤣🤣🤣🤣How is Westlands part of Nairobi cbd? You can clearly see cbd and upperhil in the background. Mbona unapenda ubishi hivi?
Back to that picture, tulishakuambia kwamba Nairobi tunazingatia zaidi utunzaji wa gree spaces, just like many other cities around the world. Usiforce tufanane nanyi kijana.
Angalia Johannesburg ilivyo na iko hapa hapa Africa.
View attachment 1795251View attachment 1795252View attachment 1795253View attachment 1795254View attachment 1795255View attachment 1795257View attachment 1795258View attachment 1795259View attachment 1795260
Unaonaje hizo 'Misitu'? Is Dar better than Jo'burg in anything just because Dar doesn't have green spaces but Jo'burg has? Anzeni kupanda miti Dar kijana na muache kelele usiku na mchana. Sitachoka kuwaelimisha
Hapo nairobi imeisha just one pic imagine 🤣🤣🤣🤣🤣🤣So joburg cbd yao nayo ina dense forest km Nairobi au sio[emoji116][emoji1787][emoji1787]View attachment 1795273
MY TAKE
Kwann serikali (TAMISEMI) isiruhusu kuwe na UDART wengi hata wawili au watatu? Kama miundombinu ya mwendokasi ipo chini ya DART monopply ya nn!? Au basi UDART menegement iondolewe?
Naomba tuzoom sasa muda umefika 🤣🤣🤣🤣🤣👇👇👇👇👇👇
Mwananyamala hio nimekusaidia kuzoom🤣🤣🤣👇👇👇👇👇👇 Ukiambiwa kuzoom unakasirika
Bandari college nimekusaidia kuzoom🤣🤣👇👇👇👇
Ngoja tuzoom sehemu watu 2.5m wasio na hati wakiishi maisha yaki jahannam hata nguruwe hawezi kuishi 🤣🤣👇👇👇👇
Zikwapi nyumba za wakenya mashishani ambao hawana dream ya kumiliki nyumba nairobi hata kwenye ndoto zao 🤣🤣🤣Alafu tukija tena katika idadi ya wealthy suburbs tumewabaka aisee, middle class areas tumewalawiti nyumba za wakenya wa kawaida mashinani tumewaua kabisa..
Si nyie wenyewe wanapopost akina tanga mnajionea uswazi tu, yani nchi nzima tz wananchi wa kawaida hawana zaidi ya dream house
Tutaona estates za kurent na sio nyumba ya dream ya mtu mmoja mmoja hio haitakaa kutokea 🤣🤣🤣🤣 nimekuuliza swali langu limekua la moto
Hajannam ya duniani hio waambie wakuoneshe nyumba za maboss wao waliojenga kwa dream zao akipata tu nitag 🤣🤣🤣🤣Hapa ndio pazuri, Wakenya leteni picha wanapoishi Wakenya wa maisha ya kawaida tofauti na hizi[emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1795552View attachment 1795553View attachment 1795554View attachment 1795555View attachment 1795556View attachment 1795557View attachment 1795559View attachment 1795560View attachment 1795561
Mm nafanya kukusaidia tu 🤣🤣👇👇 bandari college after zooming usipanic lakini
We mzee tafuta kazi ufanye, hili ndio tatizo la vilaza.Zikwapi nyumba za wakenya mashishani ambao hawana dream ya kumiliki nyumba nairobi hata kwenye ndoto zao [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hamna cha uhuni mzee, kwanza mashinani wakenya wako vizuri nakwambiaWe jamaa mhuni sana[emoji23] [emoji23]
Mm nina kazi yakukulisha ww na familia yako miaka 100 so jaribu kua na adabu hasa kwa mtu humjui 🤣🤣🤣 na huu mchezo hautaki hasira kabisaWe mzee tafuta kazi ufanye, hili ndio tatizo la vilaza.
Wako vzr ya wapi hebu tuoneshe sasa kwa macho na sisi tuamini 🤣🤣🤣 au unafkiri sisi wote wakuja humu ndani??Hamna cha uhuni mzee, kwanza mashinani wakenya wako vizuri nakwambia