Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Oysterbay yenyewe haifikii hata Kilimani wakati Kilimani haingii top 20 Nairobi kwa residential areas kali. [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ulevi uliopitiliza ni hatari kwa afya yako...
 
Pakawaida ndio lakin nyumba ziko kwenye mpangilio na hazifanani...barabara zipo lami na kila kitu kipo...Mbezi beach chini ndio pamenoga zaidi

Mzee hao achana nao washazoea kukaa kwenye estate mwisho kurudi saa tatu ukichelewa unafungiwa geti kama wanafunzi
 
Mbona zinanikalia za kawaida sana. Hivi Dar kuna estate yoyote unayoweza kulinganisha na Muthaiga, Karen, Runda, Muthangari, Springvalley, Riverside, Kitisuru, Ridgeways, Gigiri ama Lavington?
Kwa hizo sehemu zote umetaja, labda Lavington tu. Hizo zingine zote hawana cha kufananisha nayo.
 
Magomeni kagera after zooming 🤣🤣🤣
 
Achana naye mzee huyo, jamaa kaamua kujitia utahira iki tu avuruge mada..yani analazimisha metro ifanane na county mazee..
Mpuuze tu
Kwasababu nawapa ukweli 🤣🤣🤣 kwamba leo hii kajiadoo sio county sasa kazi ya bunge la kajiadoo ni nn na mbuge wake??🤣🤣🤣
 
Ananunua kwa pesa gani?? Wakat most of them wame rent au ww unatak kutufanya wageni humu ndani ??🤣🤣🤣 au nyinyi mkiweza kurent bedsitter munajiona kama ni middle class???
 
Kwahyo wewe ndio unajua sana Au vp...
Maeneo mengi yako hivi...wacha kua mjuaji tulia ujuzwe...do you expect watu million 5 wote wakaishi magomeni,manzese and the likes ambapo kulishajaa nyumba tangu kitambo?View attachment 1794890
Hio magomeni yenyewe anaijua basi 🤣🤣 magomeni kuna magorofa kama yote kuna nyumba za adabu kama zote
 
Hawa wanataka tu tufanane nao and then hawana exposure pia. Wanafikiri life starts and ends in Dar. Cities all over the world are trying to maintain and even cone up with new green spaces wao wanataka tutoe green spaces
Tufanane na nyie mama yangu 🤣🤣🤣 yani sisi tufanane na mji wenye slums zaidi ya 20 acha masihara kabisa bro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…