President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,647
- 94,285
Hiyo picha ni ya miaka 6 iliyopita. Je, Jobo iliishia wapi!?Kuna manina mmoja alisema dar hakuna floods, let me destroy his egoView attachment 1793560View attachment 1793561View attachment 1793562View attachment 1793563
Sijaona slum yoyote hapo. Zaidi sana umetuletea picha ya roof za Nyumba.Dar the biggest shithole in the world with 5% development.😂😂😂View attachment 1793572View attachment 1793573View attachment 1793574
Hoja kwishaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nikatae nn kwamba machakos na kiambu sio counties ama [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huna hoja mzee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]rudi hapa sikuhzi kenya munafananisha na USA
View attachment 1793319View attachment 1793320View attachment 1793321
Dar haina metro[emoji2960][emoji2960]Bado unandoto za kushindana na dar [emoji1787][emoji1787] yani umekosa ndoto ya kumiliki ardhi bado unandoto ya kushindana na dar[emoji1787][emoji1787]
Rudini kwenye mada hapana kukimbia kimbia ovyo [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Jibu lako hilo hapo chini kilaza[emoji1787][emoji1787]new jersey ni metro ama ni state[emoji1787][emoji1787]Rudi kwenye mada is metro a county??? Na kama sio basi acha kiambu na machakos zifanye kazi yake kama county[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Niaminishie mimi km new jersey na pennyslavannia sio metros under new york city ni states[emoji2960][emoji2960]Niaminishe mm kua metro ni county ??[emoji1787][emoji1787] Nifunge acc sasa hvi kwani kenha hawana budget??
Hii haitabadilika mpaka dunia inasmama[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116] View attachment 1793300View attachment 1793301View attachment 1793302
Km msemaji wa wanenguaji[emoji1787][emoji1787]Nimiliki kama nani ikiwa mkenya kama ww huna ndoto ??[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mbona unajichosha na terminologies!?Jibu lako hilo hapo chini kilaza[emoji1787][emoji1787]new jesraey ni metro ama ni state[emoji1787][emoji1787]
View attachment 1793631
Dar kw ukubwa wake inatakiwa sai iwe km akina new york ki development, simaanishi viwango mie nisije nikapigwa vitasa..Sijaona slum yoyote hapo. Zaidi sana umetuletea picha ya roof za Nyumba.
Tukisema slums ni Nyumba za mabati kuanzia chini mpaka juu.
Tanzania Nyumba ni za cement bricks mzee.
Wewe shuka chini uone.
Na nairobi metro itaongeza wigo na kunyakua maeneo jirani km inavyofanya sasa hivi..Mbona unajichosha na terminologies!?
Nairobi County itabaki Nairobi county haiwezi ongezeka. Size yake ni 696 km²
Hii ndio barabara best tanzania nzima, damn!!jamaa kaleta best of the best.congratulations bro
Hapo iwe parklands ya Dar es Slum. As I can see here slums run up to the blue towers. Stop forcing things. Ya kwenu we don't force we prove using your own photos.Ulisahau hii au sio [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji117][emoji1664][emoji1664][emoji118]View attachment 1793278
Those r TRC workshops Mkunya!Hapo iwe parklands ya Dar es Slum. As I can see here slums run up to the blue towers. Stop forcing things. Ya kwenu we don't force we prove using your own photos.
View attachment 1793636
Unajisikia unachosema kweli?fool ni fool tuHapo iwe parklands ya Dar es Slum. As I can see here slums run up to the blue towers. Stop forcing things. Ya kwenu we don't force we prove using your own photos.
View attachment 1793636
Asante kwa kutambua level ya Dar ni New York.Dar kw ukubwa wake inatakiwa sai iwe km akina new york ki development, simaanishi viwango mie nisije nikapigwa vitasa..
Dar inatakiwa kw sasa iwe imejengeka atleast 70% lkn mzee bado sana, upo dar lkn bado barabarani unakatiza misitu tena eti sio kw ajili ya greenspace ni maendeleo hakuna
Mzee Nairobi ni Nairobi tu. Hata sisi tupo na Kanda ya Pwani ambayo inaunganisha Mkoa wa Morogoro, Pwani na Dar.Na nairobi metro itaongeza wigo na kunyakua maeneo jirani km inavyofanya sasa hivi..
Pole sana lkn
Barabara hii na ile uliyoiponda ni moja na mkandarasi ni mmoja,kipande hiki kishakamilika kipande ulichodai kibaya bado kipo under construction ndio ukaona bado wamepanga mapipaHii ndio barabara best tanzania nzima, damn!!jamaa kaleta best of the best.congratulations bro