Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Lamu munafungua 1 bearth miaka 10
Wakat mtwara ina 2 bearth under constructionπŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ Total three now
wacha kupotosha nawe mbona Mtwara port expansion kwa hizo berths unazoongelea zishakamilika una-post clips za zamani kinoma (sijui mwaka juzi)! Wacha hizo post latest clips! πŸ™


 
Weka link
Mkuu report iko kwa website ya world bank, report ya 2020;



Vigezo walizotumia ni LDC $1.9, Lower mido income ambayo kwa sasa wataanza kutumia kwa Tanzania ni $3.2, na upper middle income kama akina SA ni $5.5, Sasa mtu akiona eti Kenya below poverty line ni 40% ana fikiria hiyo below poverty line ni same na below ya Tz by then, but kwa sasa watapima kwa pamoja at $3.2 since Tz joined lower mido income.,


My take; Mimi kama a researcher, siwezi kukubali eti 28 million Tanzanians ni fukara wa kutupwa kama vile world bank wanavyo dai., ama eti 40% people living below poverty line (ya $3.2) Kenya ni masikini wote la, I don't accept, poverty is relative ukifanya forensic audit ya poverty across Africa utapata waafrika wako sawa sana., kukosa pesa haimaanishi mtu ni masikini ki hivyo., bei ya commodities pia ni nafuu kiasi ukilinganisha, mashambani pia maisha iko nafuu sana ata kama mtu hana hela, siwezi kuongelea Tz, alafu leo mtu anakosa Kesho anapata, so sio standard., Umasikini upo lakini hatuwezi kufuata hizi data for conclusions. Hapa ni debate tu na kupondana, yaani battle sio uadui.
 
Lamu munafungua 1 bearth miaka 10
Wakat mtwara ina 2 bearth under constructionπŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ Total three now
Nimeona ktk vyombo vya habari vya Kenya meli aliyoipokea Uhuru Kenyatta lamu ya uzinduzi Jana ikitokea bandari ya Dar.acheni kujikweza tutakula sahani moja.
 
🀣🀣🀣🀣🀣 narudia kukwambia hvi ndoto ya kuitoa mafuta kwenye soko la africa subiri miaka 200 mbele, mumeshindwa ku electrify white elephant mutaweza electric cars au munafkiri ni kama kula githeri
Already tunazo sasa sielewi unacho cheka ni nini
 
Nimeona ktk vyombo vya habari vya Kenya meli aliyoipokea Uhuru Kenyatta lamu ya uzinduzi Jana ikitokea bandari ya Dar.acheni kujikweza tutakula sahani moja.
sasa kama wameonyesha hiyo inaweza kuwa PR!

Mi nangoja huu mradi
 
Nms ni county ??? Nms ina mbunge ?? NmS in gavana? NMS iko chini ya serekali ya kenyatta [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] akili kichwani mwako

munalazmisha sukari iwe chumvi ??[emoji1][emoji1]
Mbona unalialia[emoji23][emoji23]naona wembe umekata ini ndio manake unapiga kelele..
Jibu swali NMS hana bajaeti?[emoji23][emoji23]
Pole sana mzee baba
 
Huna muda wa kubishana au huna ndoto ya kumiliki plot nairobi mbona kama unajitekenya hvi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Vipi ule mpango wako wa kununua plot katika maeneo ya nairobi metro[emoji23][emoji23]
 
Kwan kikwete alikua havai barakoa[emoji1787][emoji1787] sasa waganda wanata muvae barakoa na ndio wageni wenu, utawafkuza ama???
Tanzania kwishaaa[emoji23][emoji23]rais keshasema barakoa ndio habari ya mjini...labda afe basi ndio aje mwngine ambae atakataa uvaaji wa barakoa km marehemu
 
Mbona unalialia[emoji23][emoji23]naona wembe umekata ini ndio manake unapiga kelele..
Jibu swali NMS hana bajaeti?[emoji23][emoji23]
Pole sana mzee baba
Nijibu basi NMS ni county ?? Mbona sijawah sikua kuna mbunge wa NMS bungeni?? Sijawah sikia NMS ina gavana ??? 🀣🀣🀣

sisi tunazungumzia hiii πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Nimeona ktk vyombo vya habari vya Kenya meli aliyoipokea Uhuru Kenyatta lamu ya uzinduzi Jana ikitokea bandari ya Dar.acheni kujikweza tutakula sahani moja.
Ndio ilitokea dar ikawa inaelekea oman πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
 
90% ushago wewe kelele mingi rudisha vijiweni kule unakoamkia kila sikuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.,
Mukibanwa kwenye ukweli munaaza kusema kelele nyingi mara kiswahili kingi tulia mzee urambe dawa 🀣🀣🀣🀣🀣 yani mzungu aone slums za dunia nzima asione ya dar kweli are u even serious πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…