Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

In 10 years mafuta itakua imepungua bei sana due to modern ways and emerging of electric cars and motors
Electric cars kufika africa weka miaka 200 mbele sio leo wala kesho 🀣🀣🀣🀣
 
ichoboy01 uko tayari kwa somo la leoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ww ukiwa mwalimu wangu basi mm nikichaa 🀣🀣🀣🀣 dream ya kumiliki ardhi na nyumba kwa asilimia 85% ya wakenya wanaoishi nairobi ni ndoto haitakuja kua kweli labda dunia iumbwe tena, weka akilini itakusaidia hio
 
Huu upuuzi bado tu upo kenya??πŸ‘‡πŸ‘‡ hao KDF kazi yao ni nn
 
95000 wanafunzi wamekosa loan kutoka na nchi haina pesa inajiharishia, loan za mchina zimekula nchi πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… nye nye nye ……………… mutamalizia wenyewe
 
Kwamba upigaji ulikithiri huku ndio ikiwa awamu iliyofanya makubwa kuliko awamu zote zilizopita au nakosea? Eti miss komora nasema uongooo [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwn CAG mwenyewe anasemaje[emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…