hatar chief mambo yamenogaDrinking some sweet cold beer while Watching Live Azam FC Vs Biashara United maeneo fulani Jijini Daslamu, Jiji la Maraha
When does the Premier League Matches in poor Kenya take place?
I have no Idea,
This is Azam Fc Stadium in Dar,
View attachment 1791971View attachment 1791972View attachment 1791973View attachment 1791974View attachment 1791975View attachment 1791976View attachment 1791977View attachment 1791978View attachment 1791979
Kweli mkuu hasa MajaliwaHuyu au mpango tukiwapa tutarudi kwenye msingi
Ungekua kunyaland ungerudiwa kuwekwa hapa kila siku
Hiyo avatar yako wallahi imenivutia,bint unatokea likoni wewe?Acha uongo mzee, wakati wa magu upigaji ulikithiri sana..
πππJuakali highway,,
Ndo nani hao? Mzee kama unataka kuamini corona ipo nenda India ukapate mdudu wao!hata wale wastaafu wawili hasa wa kutoka bukoba kule twitter siwasikii tena
Oooh!ni kweli bro,nilikua sijaling'amua hilo kiongozimkuu yanasaidia sana haya.. hilo eneo hakuna taa.. mnaweza kuparamiana hasa usiku.. kuna siku nilikuwa naendesha saa kumi usiku/asubuhi ndo nikaona umuhimu wake.. ase watu wako fasta hio barabara
Maneno 100 chukua moja uondoke πππJamaa waongo sana,yaani bodaboda let say kaanza na miaka 25 aki-save ksh 50 daily ili apate ksh 95 mill inaweza kumchukua zaidi ya miaka 1000 ...
To nearly town and cities π€£π€£π€£ labda mm niwe sijaelewa π€£π€£π€£π€£Twende pole pole school dropout, hii ndo maana ya metropolitan, soma ukielewa niquote tuendelee na somo.πππView attachment 1791547
Hebu nijibu swali kiambu ni county sio county??? π€£π€£π€£π€£ alaf twende taratibu manake naona kama presha inakupanda bure tuHata NMS ana mgao wake au na mi nasema uongo[emoji23][emoji23][emoji23]
Emu nishike nikuone jomba, pinga chothara nikuone mnenguaji..
Usipopinga hii nitakushangaa sana walai, hata nitaacha ku argue na wewe
Ww hutakan kumiliki ardhi nairobi ?? Hebu jibu na ww tuskie π€£π€£π€£π€£ au ndoto huna kabisa basi hata nidanganye unataman au hutamanNaona msemaji wa wakenya[emoji23][emoji23]
Nairobi watatamani wasiokua na kwao kumiliki ardhi eti ili waishi[emoji2960][emoji2960]
Pale ni business hub ndio ukatamani umiliki ardhi ili uishi, sanata snaa mnenguaji jichoboi
Alafu baada ya kwenda google na kujionea bei za ardhi katika hayo maeneo ukaamua kupindisha mada[emoji23][emoji23]
Narudia tena, we huna uwezo wa kumiliki ardhi kw hzo metro area
Si kuna wageni wamekuja kutoka uganda au ni namna gani ??π€£π€£π€£Sai ni mwendo wa barakoa tu[emoji23][emoji23]
Tanzania rais ndio kila kitu, akiingia mwngine apinge wataacha kuvaa..
Nchi ambayo inaendeshwa na mhimili mmoja tu
Na taxi baiskeli zimejaa kuliko magari π€£π€£π π π Kisumu na Eldoret zote zinalambishwa mchanga na Kilimanjaro
Hicho kikisumu kina majengo mawili tu π π π
Mm natumia link yako mwenyewe π€£π€£π sasa piga hesabu utuambieHii kelele yako yote kutoka tandale won't change any facts. That's the most important thing
Tandale tena bado unaitaja hujakoma tu π€£π€£ tatizo ulichukua ufungua wa nyumba ya urithi ushagooKijana wa tandale mbona wanitajataja usiku na mchana? Nilienda na funguo wako wa dreamhouse? π π π
Sasa hesabu hutaki ama π€£π€£ππ mm natumia link yako tu na sio nyingineHii kelele yako yote kutoka tandale won't change any facts. That's the most important thing
Utaona akianza kuimba ule wimbo wao maarufu ijulikanayo kama '90s'