Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Jino kwa jino kudadadeki wameanza kuwa werevu nowadays [emoji1787][emoji1787][emoji117][emoji90][emoji86][emoji85][emoji1664][emoji529][emoji1139][emoji117][emoji3545][emoji706][emoji2781][emoji117][emoji1241][emoji117][emoji91][emoji294][emoji382][emoji375][emoji419]
 
akikaa kimya katika hili nitamuona zoba.. akilikemea nitamuona ana akili na anajali
Ati Vodacom imepata hasara! Mbona enzi za mwendazake hasara haikuwapo? Au kwavile wamekataliwa kuongeza bei ya data?
 
Baada ya kushindwa ku-improve investment conditions with superior infrastructure wanawinda makampuni ya Japan ya-invest Kenya kwa offer za kipumbavu! Sasa kama hili ni zuri kwa uchumi wa Kenya unaokopa ku-finance budget, sijui!
 
Hapo si village hapo ni northern kenya anayo ilikua deserted sasa new tourist attractions zimezinduliwa huko kama chalby dessert na dessert safari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…