Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Njoo u edit hku basi ndio tukuelewe vizuri[emoji23][emoji23]huenda ikawa akili ilikua faster kushinda vidole wakati wa ku type..

Kiporo chako[emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1790749
Sasa we si unaona mtu katoka bongo anakuja hapo kwenye road zenu anakuta utopolo,yaani ndinga zoote bei zao haifiki hata nusu ya chuma cha mtz..huo ni unyonge,magari yenye plate za Kenya hata huku yapo
 
Mzee rudi kwenye mada 🀣🀣🀣 ww hutamani kua na nyumba nairobi hebu ongea bila hasira na mawazo najua ni ndoto hebu ifanye ndoto kama kwei nijibu plz😁😁😁
Mzee makao yangu ni mombasa, muulize dadako The best 007 anapajua nilimwonyesha pichaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ unadhani naishi uswazi kama wewe😁😁
 
Wakenya wanapenda ufahari na huku hela hawana..tukianza na

1.bwana mapesa teargass a.k.a Freemason
2.kuna yule mwingine mzee wa buggati,yaani jamaa ana hela hadi anaweza kununua Bugatti na kuichoma moto
3.mwingine kajitokeza leo ananitisha na lunch huku ukiangalia gari alioposti hapo juu hata kuifanyia service inamtoa jasho..damn!!

Wakunya hamna maisha ya kutushinda wabongo,hilo msahau
 
Sasa kajilipua πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ushakubali nairobi imepanuka mpaka kiambuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kizungu panaitwa metropolitan region, rudia tena metropolitan regionView attachment 1790748
πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ kumbe hujagosea
Kumbe ni county zina mbunge wake zina bunge lake zina gavana wake zina mgao wake kwenye serekali kuu au


Rudi kwenye mada nairobi city center ndio mada rudi kwenye mada 🀣🀣
 
Mzee makao yangu ni mombasa, muulize dadako The best 007 anapajua nilimwonyesha pichaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ unadhani naishi uswazi kama wewe😁😁
Makazi yako hayanihusu rudi kwanza kwenye mada ya nairobi πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Unajifanya chiziπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ wewe ulisema hakuna kitu kama nairobi metro ndipo Don YF akakuletea hio map uone. Sasa umeanza kulialiaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mpuuze amafyatuka akiliπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.,
 
Twende pole pole maana ya metropolitan nini haswaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…