Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwao maisha magumu 🀣🀣🀣 wamebaki kulia hapa eti wanaficha aibu zao wakat dunia inajua mpaka rangi za chupi walizovaa😁😁😁😁😁
 
Kwao maisha magumu [emoji1787][emoji1787][emoji1787] wamebaki kulia hapa eti wanaficha aibu zao wakat dunia inajua mpaka rangi za chupi walizovaa[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mm nimekupa facts sio porojo ndio maana maskini atabaki maskini tu πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Alafu hiyo mkikusanye watu wengi mna afford kununua kiwanja kikubwa then munagawanya vipande na kujengea pia kwa pamoja., Jama ni kilaza kupindukia, haamini ni Kenya hii anayoijua kupitia propagandaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚., Facts zimekua mzito kwake, amepigwa akapigika, hana jibu kutoka Tanzania sasa analia lia na kumwaga povu humu., hampendi kuona anything good from Kenya na Tanzania hakipo, ama Kenya iwe kwa wingi kwao iwe kidogo, ameteseka hadi ana tia hurumaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.,
 
Mm nimekupa facts sio porojo ndio maana maskini atabaki maskini tu πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡
View attachment 1790459
Sasa prove hakuna nyumba zimejengwa na wana boda boda ni hadithi tu za vijiweni.., nangoja., fikra zako ni too pedestrian hauoni aibuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.,
 
Nani ata afford hapa wewe unalazmisha kitu wakat mambo yako wazi kwann utumie akili kubwa wakat akili ndogo inatosha 🀣🀣🀣 tukisema hamuna ndoto ya kujenga wala kumiliki plot munatuchukia bure hapa πŸ‘‡πŸ‘‡
Hzi hesabu hata umpe mwendawazimu hawezi kubali achilia mbali mtoto wa darasa la pili, jifunze kukubaliana na ukweli hata kama unauma na hamupendi ijulikane hvo sio kwa dunia ya leoπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† badilikeni
 
Sasa prove hakuna nyumba zimejengwa na wana boda boda ni hadithi tu za vijiweni.., nangoja., fikra zako ni too pedestrian hauoni aibuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.,
Kwa link hii maana yake hakuna mtu atamiliki labda awe na connection na politicians 🀣🀣 hii ni hesabu sio BBi kwanza uelewe hvo ndio maana hata link zinasema kurent kwa wakenya wengi ni rahisi kuliko kumiliki na hii ni kutokana na life ngumu sana kila kitu gharama iko juu unategemea hao majority over 80% watakua na ndoto ya plot

alaf ww nakushangaa sana hili swala sio geni kwa kenya wala nje ya kenya πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… mwenzako alishaongea toka mwanzo kumiliki plot nairobi sio shs mbili na akasema yeye ana urithi ushagoo

bakia kwenye ukweli sio dunia ile ya nyeupe kuonekana nyeusi 🀣🀣🀣🀣🀣
 
Nimeomba kuoneshwa sehemu high class nairobi wamejenga nyumba zao kwa ndoto zao au dream zao 🀣🀣🀣🀣🀣 naona kila mmoja anapita wima nilitaka leo niwaelekeze kitu lakini ndio bahat mbaya sijapata jibu🀣🀣
 

Mimi nampatia first hand information yeye yualeta mipasho na story za kijiweniπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hapa si London😎😎😎 mkifika hapa kenya tumeland kwa moonπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ unajifanya chizi sioπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Sasa nionyeshe wale boda boda ni waongoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚taarifa hauelewi pia unatupa tuπŸ˜‚ yaani how it is hard kwa mtu mmoja ku afford to own a home, na hesabu umepewa, Mimi nimekupa taarifa yakuonyesha vile watuvwanavyo ungana na kufauluπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚., Unajitekenya na kucheka masikini kakanguπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚., Mbona kuniabisha hivi leo?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜œπŸ˜‚πŸ˜‚

Nionyeshe wale boda boda operators wa Nakuru, Nanyuki na Kitengela ni waongo, hakuna jambo kama hiyo.., hizo ni porojo na propagandaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.., evidence bro...,
 
Mimi nampatia first hand information yeye yualeta mipasho na story za kijiweniπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ndivyo alivyo huyuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, amekosa Tanzania yote, angekua amejaza uzi na vipicha, sasa ni Kiswahili amebaki nazo tangu tumpige jana na middle na lower middle, ako na maumivuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ namuangalia tu pole pole.., hana evidence ni ku google things out of context na ku prove his ignorance πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ balaaa.,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…