Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ndoto ya uganda kujenga SGR malaba imekufa na sasa SGR kenya rasmi ni white elephant tukumbuke dr ndii alisema like 3yrs back πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
 
ni washamba sana
 
Ona sasa reasoning uchwaraπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ na bado Kenyans wanafaulu kumiliki nyumba, wewe ukiendelea kulia na kupinga usicho elewa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, Wacha nikusaidie kilaza uone the meaning of unity here, akili yako ni ndogo sana,., πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚., Naongea kwa level ya mtoto wa chekechea hapa!
Mtu mmoja akienda hotelini, kwa mfano anaweza kununua chakula a plate tuseme at Ksh200, akipeleka rafiki zake kumi itakua bei ya juu, 200x10=2000 ukiongeza na yake ni ksh2200/- Sasa wakiamua kukusanya pesa kidogo kidogo, tuseme Kshs 50 kila mtu, itakua kshs550! kisha wanunue viungo, unga, mafuta etc wapike, watapika mlo wa kuwatosha wakule washibe kirahisi sana na wabakishe.
Watu wakija pamoja na ku form a cooperative society, na wakusanye pesa kila mwezi kwa ujumla, wanaweza kukopa loans kwa banks kupitia SACCO yao na kununua wanacho taka kirahisi than an individual., The power of unity, hope kilaza umeshika angalau kidogo tu..,πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ unaniaibisha rafiki, saa zingine kupita kimya kimya ni hekimaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mwengine anakwambia ananyumba ya urithi ushagoo [emoji1787][emoji1787][emoji1787] urithi wenyewe ni wa ukoo wako zaidi ya 300 wote wana mawazo sawasawa ya urithi
huyo ni wakuchapa viboko kabisa ni mpuuzi
 

Ulisoma na Venus Star niniπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Mimi ni mdhamini wa pikpiki so pata first hand information😎

Boda boda rider kenya anapata 1000 ksh on average daily,

Alafu atenge 300 ksh kwa mkopo wa nyumba daily.

[Weekly, 300*7= 2100] [monthly, 4*2100= 8400] [yearly 12*8400= 100800] [ seven yrs 7*100800= 705600]

Any more questionsπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hata wapewe miaka 50 hakuna hata mmoja atafaulu 🀣🀣🀣🀣🀣 na ndio nimeamini kwann kenya maskini atabakia maskini na tajiri atabakia tajiri 😁😁 yani matajiri na taasisi zinawanyonya sana watu maskini ambao ni wengi sana ndio maana hata ndoto za kumiliki plot au nyumba zinabaki kua ndoto za kuota mchana, mtu aki rent bed sitter pia middle class mamaeeeeπŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„

Mm leo nitakugonga na facts mpaka unichukie πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

 
Mtu huwezi hata kufagia ? Hii shida aisee. Na wanavyojidai ni aggresive kwenye Biashara, hivi kuweka hili eneo safi ni ni hela tupu hapa?? Au hakuna wa kulipa? [emoji23]
Baadae watakwambia wamesoma 🀣🀣🀣
 
K
Kiswahili mingi zero pointsπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚., nataka udhibitishe kwanba sio ukweli watu waboda boda hawana hizo nyumba, hizo ni hadithi za vijiweni ambapo unatamani isikue ukweli najua, yaani wivu imekunyonga, umekaukiwa na mateπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚., Ni povu unamwaga..,
Leta evidence hakuna kitu hicho, na boda boda operators hawakujijengea nyumba kupitia mfumo wa SACCO., Weka facts eti hizo taarifa ni uongo, wewe unajua Kenya kushinda wakenya, unaeza pia tembelea YouTube ukitaka.,πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚., Am waiting, hekaya za abunuasi sitaki.., kuja pole pole..,
 
Mm nimekupigia hesabu za dukani tu a week bodaboda anatakiwa apeleke 1000ksh
Ukipiga kwa mwezi ni 4000ksh ukipiga kwa mwaka ni 48000ksh kumbuka ninhesabu za dukani πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ukipiga kwa miaka 7 ni 336,000ksh wakat kashamaliza muda wakulipia na bei ya two bedroom ni 700,000

hapo bodaboda hajaugua, hajala, hajalipa kodi, hajaweka mafuta, hajalipa social services, hajahonga mpango wa kando, hajasomesha watoto etc na inflation is over 5% 🀣🀣🀣🀣🀣🀣 yani ukitumia hesabu ambazo haziymizi kichwa ndoto ya kununua nyumba haipo na haitakuwepo mpaka dunia inasmama na ndio leo nimeamini kwann maskini atabaki maskini na tajiri atabaki tajiri
 
Sio kiswahili 🀣🀣 usilaumu kiswahili hii ni lugha tu kama kijaluo na kikamba🀣🀣🀣 hapa tunaongea facts sio porojo za BBi wachache wanakula pesa wengi wanabaki maskini hapana πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…