Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Naona umechange gear angani [emoji116][emoji116][emoji116]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kama wakenya hawana pesa hizo estates zisingejaa kila kona ya nchi[emoji41][emoji41]
Hapo sasa, manake sai wanadaisha hzo estates wananua matajori hku kenya...sasa kinachoshangaza zimejaa km uchufu hku kenya[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Middle class ya Dar, Kuna nyingine tena?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ , next time usiogope kuweka hizi picha za mido class., be proud of your cityπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.,
Ya nairobi iko wapi ile ya kurent bedsitter ndio middle 🀣🀣🀣🀣🀣🀣 sasa najua uwelewa ushakuingia, yule mwenzako mwenye plot nairobi yuko wapi??🀣🀣🀣🀣
 
BRT tushaanza kujenga sasa meaning tutakua na pimped out buses, boring brt buses, na rapid train.... who is laughing now 😁
Munajenga wapi??? 🀣🀣🀣 Ile ya kupaka rangi thika au kuna nyingine
 
Hapo sasa, manake sai wanadaisha hzo estates wananua matajori hku kenya...sasa kinachoshangaza zimejaa km uchufu hku kenya[emoji23][emoji23][emoji23]
Wananunua kina nani?? Kwa mshahara upi na kwa maisha yapi?? 🀣🀣🀣🀣🀣
Masharti ya mkopo ndio haya hata apewe miaka 1000 πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Jubilee ndio ilivowandanganya sasa hii link ya uongo 🀣🀣🀣🀣 na owners wa ardhi wengi ni politicians na investers pamoja na gvt institution pia unakataa πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€


Naomba uniletee sehemu matajiri wa nairobi au high class wa nairobi wamejenga nyumba zao za design wanazopenda wao ukipata naomba mm unitag🀣🀣🀣 alaf nikufundishe kitu
 
Mzee utadanganya wengine lakini sio mm na hilo unajua huwezi na hutaweza kunidanganya mm mpaka kiyama 🀣🀣🀣

hebu tizama hii statement kutoka kwenye link yako mwenyewe from 100ksh saving to 1000ksh πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… ni boda boda gani huyo?? Hvi nyinyi nani anawaroga




hata tukichukua mifano halisi mulivokaririshwa kimaisha kua ardhi ni ya wakubwa hio ni dream iko kwenye ubongo wenu sasa leo boda boda aweke saving ya 1000 kwa maisha gani hayo ??? 🀣🀣🀣🀣🀣
 
Naendelea kuichambua link yako taratibu πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Ya nairobi iko wapi ile ya kurent bedsitter ndio middle [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] sasa najua uwelewa ushakuingia, yule mwenzako mwenye plot nairobi yuko wapi??[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
wakenya ni wapuuzi sana,,wanadhani kuwa middle class ni kuishi kwenye estate,,,[emoji1787][emoji1787][emoji3526][emoji3526]

wanasahau kuwa account kwa mfuko ndiyo inayopimika ...
 
That thing has refused to go away, lol. I have given up
Check engine light huwa ni tatizo la emission control (mfumo wa Kupunguza gesi chafu). Baadhi ya matatizo hayo unaweza kuyatambua kwa ku run OBD II scanner.

Tatizo lolote la vacuum leak, dirty air filter, dirty mass air flow sensor (MAF), dirty injectors, dirty HVAC plenum, bad oxygen sensor au bad catalytic convertor itaifanya computer ya gari (Engine Control Unit au ECU) ku-throw check engine light error code.

Kutataua hili tataizo anza na vitu rahisi;

1. Badilisha/safisha air cleaner
2. Angalia kama kuna mipira (vacuum hose) iliyokatika/chomoka/pwaya, halafu ibadilishe.

Hizi namba 1 na 2 ECU huwa haitoi error code hivyo kama ume-run OBD II scanner huwezi kupata error zake.

3. Safisha mass air flow sensor kwa kutumia MAF cleaner, Kama ulipata error code ya MAF kwenye OBD II scanner, ifanyie uchunguzi zaidi au ibadilishe.

4. Safisha plenum, kwa kuhakikisha hakuna sehemu zilizozibwa na oil iliyoganda (gunk).
5. Kama namba 1- 4 havijasaidia badilisha o2 sensor
 
Hata tukitumia hesabu za dukani achilia hesabu za kiuchumi tutumie hesabu za dukani za kuuza karanga na soda

nikikwambia ni ndoto ya alinacha unasema mm muongoπŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£
Boda boda anatakiwa aweke savinga ya 1000ksh a week
1000ksh * 4weeks = 4000ksh a month
So 4000ksh a months * 12 months = 48000ksh
So 48,000ksh yearly * 7 = 336,000/

wakat amepewa miaka 7 mm nakwambia huyo boda boda apewe miaka 50 achia miaka 7 apewe miaka 50 hanunui plot wala ushuzi wa plot πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… kwa maisha gani hayo kila kitu rushwa inflation iko over 5%

ikiwa hatuoni hata kupapasa pia hatuwezi
Na hii unit ni two bedroom πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„ just imagine unatuletea siasa za jubileee wakat maisha yenu mabovu kuliko ya zimbabwe hzo ajira zenyewe hakuna about 40%😁😁
 
wakenya ni wapuuzi sana,,wanadhani kuwa middle class ni kuishi kwenye estate,,,[emoji1787][emoji1787][emoji3526][emoji3526]

wanasahau kuwa account kwa mfuko ndiyo inayopimika ...
Na hayo ndio mawazo yao lakini ndoto yakumiliki au kujenga hayapo mpaka kufa 🀣🀣🀣 sasa hawajui middle class anatakiwa awe vp ni very simple tuπŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ wao wanafkiri mtu akirent beditter na hapo na some estaes anakua middle classπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Umeona hayo magofu wamepost eti ndio Ununio ambayo huwatoa pumzi, hawa bana, huku Nairobi kuna sehemu niliwahi kwenda nikahsi kama niliyepotea njia, nikajiona kama niko a very wrong place, yaani majengo ya kifahari bana sio mchezo.
Siku ukija dar nitafute mm nikuepeleke kwa gharama zangu mwenyewe 😁😁😁😁 nikupeleke ukaone majengo ambayo watu wanaishi hayapo na hutayaskia kenya miaka 200
 
eti nyumba za kisasa?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚., Dar is slum kweliπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚., hizo ni za kisasa eti?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kwani tandale ilikuwaje baada ya kuwaonesha vitu kwa ground 🀣🀣🀣
 
Wewe ni kilaza huwezi nifunIa chochote ama mtu yeyote ata awe mwendawazimu wewe hauwezi lolote kamweπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚., Masikini la Tanzania., Your reasoning ndio imekuumbia, tajiri hafikiri kama wewe hataaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚., Kumbe wewe ni low life muongo kupindukia πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚., Kiswahili mingi with zero pointsπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…