Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

good sana
 
I have tried telling him this time without number. Kitu huyu kilaza hajui ni kwamba most of these properties sana sana zile za gated communities ni za kuuza and it's Kenyans who buy them. Huyu anataka watu wajijengee uswazi Nairobi ndio tufanane nao
 

mwai kibaki inakuwa double lanes?? kwa space ipi?
 
Baada ya kukosa majibu muna pretend kua wendawazimu sasa🀣🀣🀣🀣
Uzuri ni kwamba hii kelele yako haitabalilisha chochote. Nilikuambia watu wananunua nyumba Nairobi na kuzimiliki. Wacha nikupe mfano na Greenspan estate kule Donholm maeneo ya Eastlands



Greenspan ni moja ya sehemu ambazo nyumba zilijengwa specifically kwa ajili ya kuuza wala sio kupangisha. Sasa mtu anayemiliki nyumba hapo juu na mwingine anayemilik nyumba hapa chini who should have bragging rights?
 
Yaani unataka ku-pretend kutojua watu wamevamia road reserve? hebu declare conflict of interest kwamba una mjengo hayo maeneo! BTW BRT Phase VI yaja!

[emoji23][emoji23][emoji276]barabara nzima from morocco to pale junction ya clouds fm kuna majengo kushoto na kulia.. zantel ndan, palm village ndan.. bakhresa nae ndan.. vituo vya mafuta navyo ndan..
 
[emoji23][emoji23][emoji276]barabara nzima from morocco to pale junction ya clouds fm kuna majengo kushoto na kulia.. zantel ndan, palm village ndan.. bakhresa nae ndan.. vituo vya mafuta navyo ndan..
Kwani Mwai Kibaki Road ni ipi? Si old Bagamoyo road ama? yaani kuanzia Namanga kupitia US-Embassy kwenda Mikocheni/Msasani kwa Warioba na kuendelea mpaka Kawe Mlalakuwa? Ama mimi ndo nakosea? Jengo la Airtel linaguswa vp? Huko Mikocheni light industrial area wengi wao wana maukuta na wengine wameingia road reserves! Na nadhani pataguswa na ujenzi wa flyover ya Mwenge! Watalipwa kisheria watakaovunjiwa yaani kufuatwa na flyover! I thought Azam media wapo Tabata hii ofisi yao ya Mikocheni iwapi?
 

mwai kibaki inaanza junction ya pale morocco kwenda kawe.. njia ya kwenda ubalozi wa marekani sio mwai kibaki.. ni old bagamoyo road.. sasa ukitoka barabara ya usa embassy kwenda kawe, kulia kuna office za zantel
 
mwai kibaki inaanza junction ya pale morocco kwenda kawe.. njia ya kwenda ubalozi wa marekani sio mwai kibaki.. ni old bagamoyo road.. sasa ukitoka barabara ya usa embassy kwenda kawe, kulia kuna office za zantelView attachment 1789453
Mi naona hii barabara ina wavamizi wengi! Angalia upana huu halafu njoo upande wa Warioba halafu jiulize kulikoni kuanzia Tanesco mpaka hapa Zantel barabara imekuwa nyembamba? Hapa watu watavunjiwa, tena bila malipo!
 
Hii ni Mausoleum ama? Yaani concept ya kujenga kaburi simple na kuweka garden safii hamna Tanzania? Sasa mtu aliweka usia azikwe kwenye makaburi ya familia unapojenga nyumba namna hii inakaa vp?

Hivi kuwa na kitu simple kama hivi tunashindwa vp? Lijumba la kishamba lina lipaa likubwa kama dunia? yaani kwelii ndo heshima kwa mpendwa wetu?



 
Anaemiliki sacco ni nani ??? 🀣🀣🀣 Twende taratibu mm sitaki hasira kabisa mm nachotaka uelewe kwamba wakenya wengi maisha yao ni kurent na sio kuown land or house πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ

mm narudia point yangu hata hzo estate hawamiliki watu zinamilikiwa na mashirika ya serekali na taasisi za waty binafsi wengi wana rent na hao vigogo hutumia kama business 🀣🀣🀣🀣
 
Who bought ??? Ni middle class gani mwenye pesa ya kununua nyumba kenya 🀣🀣🀣 au ww hukmjui maana ya middle class, kwan ukijenga na watu hawajanunua then unafanya nn siwanapanga kama kawaida au nadanganya mm πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ wewe danganya watu nairaland sio hapa
 
pole sana kwa kipigo.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Leo nimecheka sana manake kila mkitafuta pakutokea wapi 🀣🀣🀣 mzungu hawezi kua mjinga zaidi ya mkenya hio nakuandikia mpaka kiyama πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Na urithi wenyewe ni waukoo sio familia sasa kwenye ukoo wako watu 100 wanarithi nn hapo??[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yani jamaa alinishangaza sn eti anaongelea nyumba ya urithi tena kijijini [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
I have tried telling him this time without number. Kitu huyu kilaza hajui ni kwamba most of these properties sana sana zile za gated communities ni za kuuza and it's Kenyans who buy them. Huyu anataka watu wajijengee uswazi Nairobi ndio tufanane nao
Who own sacco unataka kuniambia mkenya wakawaida pesa ya kununua nyumba anaitoa wapi na umrkiri mwenyewe kua land nairobi sio shs mbiliπŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„ na ukasema muna urithi vijijini sijui nn hahahhaa acheni upumbavu na sifa za kijinga bakieni kurent bedsitter na kutafuta pesa ya githeri lakini ndoti ya ardhi na nyumba haitakuwepo mpaka dunia inasmama
 
Yani jamaa alinishangaza sn eti anaongelea nyumba ya urithi tena kijijini [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na hio nyumba ni ya ukoo wako karibia watu 200 na wote wanaongelea jambo la urithi sasa tizama akili zao alaf niambie hawa watakua na ndoto yakumiliki ardhi na kujenga ???🀣🀣🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…