Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ili awe middle class kwenu yule alie rent bedsitter au ???🀣🀣🀣🀣🀣🀣 manake hujanijibu mpaka sasa hvi who own estates in nairobi naona unakwepa kwepa sijui kwann au kuna moto mbele 😁😁😁😁
 
kwenye hii link, wap wameandika mbili? soma vizur hio sehem.. wamesema a passenger aircraft and a cargo aircraft.. you can precisely elaborate me thou
Uko right..! BTW Budget ya TAMISEMI ikoje? Ishasomwa? Wizara ipi inahusika na ujenzi wa mji wa Serikali Dodoma?
 
Mimi sio mwehu, sikwepi., najua hauna kende ya kukubali ukweli.., search estate by estate and the ownership ujionee., nimekuambia ingia youtube property show Kenya ujionee mwenyewe properties and buyers ni akina nani., na pia Kuna group ya boda boda riders through their savings kwa SACCO wamejenga a well organized residential estate., jitafutie usiwe mzembe ujionee, na usijitie hamnazo tenaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Watu zaidi ya 4.4M ndani ya Nairobi, kila mmoja amiliki nyumba? Watu wana hela za kupanga majumba ya kishua Nairobi, manyumba yao yako inje ya County ya Nairobi. Watu wanafanya kazi Nairobi, jioni wanarudi kwao County za karibu hapo na Nairobi. Acha uboya wa akili!
 
Msaidie mwenzako kwanza kabla sijakujibu who won estates in nairobi?? Manake naona appartments unanionesha then who own them?? 🀣🀣🀣 au kila mkenya ananmiliki yake ama
UmekwepaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚., nilijua tu utacheza kama ulivyo fanya Mwanza vs Mombasa., hauna picha kabisaa?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.,
 
Hebu atueleze wale wakaazi wa Dar wote wamejenga Dar. Ana umwa huyo, anafikiri kujenga ni rahisi. πŸ˜‚
 
Hapo umemjibu kikamilifu, anataka hivyoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.,ukweli ulioko Nairobi na yeye ni kama maji na mafuta, hawapataniπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
He's just plain stupid and to please a fool is to say yes
 

Dar to get eight vehicle flyovers​

ippmedia.com/en/news/dar-get-eight-vehicle-flyovers

May 18, 2021

18May 2021
Songa wa Songa
Dodoma
News
The Guardian

Dar to get eight vehicle flyovers
FEASIBILITY studies and designs for eight more flyovers in the city of Dar es Salaam are ready, the National Assembly was told yesterday.


Leonard Chamuriho.

Tabling budget estimates of the Ministry of Works and Transport for the 2021/22 financial year, minister Leonard Chamuriho said the project seeks to end continual traffic snarl-ups that adversely affect the economy of the commercial capital.

The infrastructures will add to two finished flyovers, namely the Mfugale flyover on Nyerere Road and Kijazi interchange on the Morogoro Road -Sam Nujoma-Mandela Expressway junction, with the new
flyovers slated for road junctions at Mwenge, Morocco, Magomeni, Selander Bridge, Fire, Oysterbay, Buguruni and Tabata.

The government is working on mobile flyovers in major cities for emergency use when infrastructures are impaired or rendered impassable, especially for Dar es Salaam, Dodoma and Mwanza, he said.

The mobile or Mabey flyovers are logistic support bridges working as pre-fabricated truss bridges, often used by military contingents in facilitate off road heavy duty transportation of equipment or personnel, or in upgrade routes for heavier traffic, replacing bridges damaged by firepower, or during floods.

As for decongesting the city of Dar es Salaam, the minister said the construction of the rapid transit bus terminal at Ubungo, at the former upcountry bus terminal, was on course.

He listed road tarmacking projects completed by April 2021 as including Mbezi – Malambamawili – Kinyerezi – Banana (14km), Tegeta - Kibaoni - Wazo Hill - Goba - Mbezi (Morogoro Road) 20 kilometers long, part of Mbezi Mwisho – Goba, Tangi Bovu – Goba (9km) and Kimara Baruti – Msewe – Changanyikeni (2.6km).

Others are Banana – Kitunda – Kivule – Msongola, (14.7km) part of Kitunda– Kivule (3.2km), Ardhi – Makongo – Goba (part of Goba – Makongo 4km road) and Tegeta Kibaoni – Wazo Hill – Goba – Mbezi/Morogoro Road (part of Mbezi Mwisho – Goba 7km road), Wazo Hill - Madale – Goba (5km).

Works in progress were listed as Ardhi – Makongo – Goba (part of Ardhi -Makongo 5km road) which has reached 20 per cent and Wazo Hill – Madale Section (6km) at 80 per cent of planned works.

Work on the Kibamba – Kisopwa – Kwembe – Makondeko road, including Kibamba – Mloganzila (4km) was largely complete and designs for the Mloganzila – Makondeko (1km) section are being completed, he stated.

β€œTendering processes are ongoing to procure contractors for Goba - Matosa – Temboni (6km) as well as Mjimwema – Kimbiji – Pembamnazi (27km),” he said.
β€œThe government is also mobilizing resources for the expansion of Mwai Kibaki Road (9km) and Kongowe – Mjimwema – Kivukoni Ferry (25km), the minister added.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…