Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Estate ni nyumba amabzo zinamilikiwa na mtu mmoja au shirika na kusudio ni kukodisha kwa watu wenye mahitaji ya makazi na uzuri wa estate kenya ni biashara na hatuwezi bishana 🤣🤣🤣🤣🤣
First, even though not grammatically correct, sisi huku Kenya tukitumia meno estate tunammanisha mtaa wa makaazi. Example ni Buru Buru, Donholm, Westalnds, Langa'ta. All these we refer to them as estates.

And what's wrong with nyumba za makaazi kumilikiwa na mashirika ama mtu mmoja as long as they are not Tanzanians? Ama unataka na sisi pia tujijengee uswazi huku kila mahali jinsi mlivyofanya?
 
So who own estates 🤣🤣🤣 hapa huwezi na hutanidanganya mm hilo nakwambia wazi narudia swali who own estates in kenya naomba jibu

kuna estates nyingi sana zinamilikiwa na waturuki investors kazi yenu nyinyu ni kupanga kutafuta hela ya rent na uji lakini akili ta kiwanja na nyumba hamuna mpama dunia itasmama🤣🤣 na baadhi ya estates zinamilikiwa na politicians pamoja na wafanya bishara wachache wenye connection na politicians 😃😃😃😃😃

Juzi rafki yangu ananimabia joho anamiliki majumba na appartments nyingi sana mombasa, malindi na lamu sasa swali na jiuliza joho ametokea kwenye familia yakimaskini leo kawa tajiri mkubwa mombasa bado unataka kalamu na karatasi kuelekezwa😀😀
 
Analeta hadithi za pauka pakawa, yn mkenya hana haki ya kumiliki ardhi mjini mpk aende kijijini licha ya pori lote lile la Nairobi lkn pia lina wenyewe, daahhh poleni sana, ndio Kenyatta alipowafikisha hapo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ardhi nairobi inamilikiwa na wachache tu politicians , inveators pamoja na wafanya biashara wakubwa wenye connections na politician waliobakia ni kama slaves kwangu pakavu tia mchuzi 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Usawazi umetake over Dar,,hakuna ata pa kupumulia,, pathetic city🤢🤢🤢🤮😂😂
Jibu swali 🤣🤣🤣👇 hakuna kuzuga
 
Sisi hatuna kitu inaitwa slum mpaka dunia itasmama slum za dunia hii utazipata nairobi liberia na nigeria 🤣🤣🤣👇👇👇
 
Ardhi nairobi inamilikiwa na wachache tu politicians , inveators pamoja na wafanya biashara wakubwa wenye connections na politician waliobakia ni kama slaves kwangu pakavu tia mchuzi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wanatafuta ela ya uji [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wanatafuta ela ya uji [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ndio ndoto hio hawana ndoto ya ardhi wala kumiliki nyumba unaeza amini hata kibera inamilikiwa na wachache vile vile wengi ni wapangaji 🤣🤣🤣yani utasema watumwa
 
Maeneo ya usawazi ya yombo railway station😂😂
 
Kenya ni Mavi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…