Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Bila filter za upande😂😂😂
images.jpeg
images (2).jpeg
 
Hilo eneo liko hivi kwa ss [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1787645
Jana nimewapitisha tandale hawana hamu mwenzao kakimbia mazima 🤣🤣🤣🤣 sasa kajua mzungu hawezi kua mjinga afunge sattelite 500 hewani za trillions usd asione slum alaf mtu kutoka kariobangi aone slum kwenye ndoto
 
Urefu wa Barabara za Dar ambazo ni rafiki kwa watembea kwa miguu zinaweza kuwa ndefu sana. Na baada ya BRT phase 2 na 3 kukamilika tutakua sawa sana na sidhani kama kuna jiji litatukaribia kwa Maeno hayo.
Pedestrian and Cyclist friendly Roads in Dar
1. Nyerere road from terminal one to Nkrumah —— Bibi Titi and Al hassan Mwinyi road all the way to Bagamoyo road .
2. The whole of Morogoro Road
3. The Whole of Msombazi street
4. The whole of Kivukoni road
5. Ali Hassan Mwinyi to Bagamoyo road
6. Uhuru road from Mnazi mmoja to Karume.
7. The whole Kawawa road
8. Sokoine Drive from Clock tower.
9. Bibi Titi Mohamed road.
10. The whole of Mandela road
11. The whole sam Nujoma road


Morogoro / Mandela / Sam Nujoma


View attachment 1787182
View attachment 1787184

Nyerere road

View attachment 1787185


Bibi Titi/ Alhassan / Ohio street

View attachment 1787186

Mandela road

View attachment 1787187

Ali Hassan / United Nations road

View attachment 1787188

Uhuru / Lumumba road

View attachment 1787191

View attachment 1787192

View attachment 1787195


Ali hassan Mwinyi road

View attachment 1787196

morocco mwenge.. bamaga shekilango.. mwenge tegeta
 
Huwa sihitaji kupambwa mzee, tofauti ya Dar na Nairobi ni kuwa Dar Majority wanaishi kwenye nyumba zao sababu building a decent home in Tz is quite easy than in Kenya, a reason you will rarely see uniform houses in Dar and people are comfortable with their own houses than rental.. hakuna soko kubwa la wapangaji huku na hata wanaopanga wanakuwa wanapambana kununua ardhi na kujenga nyumba zao, hii pia ina changamoto sababu inapelekea kweye makazi mengi ambayo ni informal, you go to Mbezi beach, goba, Bunju, Mbezi, Kinyerezi, Chanika, Kigamboni utaona massibe decent homes ambazo hazifanani kama huko Nairobi..
Kwa upande wa Majengo makubwa overal Dar ina majengo mengi kuliko Nairobi, though Nairobi imeonekana kujenga majengo mengi hivi karibuni sababu since 2016 JPM alielekeza projects nyingi za Real estate done by the Pension funds and NHC Dar kuelekezwa Dodoma. i

1. Real estate houses arenot rented they are sold in cash or morgage.

2.Difference between Dar and Nairobi is the size of middle class. That can explain the few number of malls and estates in dar.

3. Nairobi metropolitan region alone is enough to dwarf all the real estate in dar.
 
I have been raising my concern multiple times huku na Ssc about governents investing in sports and entertainment facilities
1.Kwanza huongeza Ajira na pia ni source of Toursim

I even calculated a 1bil usd dollar plan 10years plan to revamp this stagnant industry..

We need 5football stadiums (500 mil usd enough)
2 over 60k capacity Dodoma, Mwanza
3 40k capacity -Mbeya , Arusha, Zanzibar

8 -10 Indoor Stadiums ( 250mil enough)
20k Capacity 2 - Dar, Mwanza
10k Capacity 3 - Znz(tourism spot), any other cities
5k cap -3-5any other towns

Training grounds and other facilities plus gyms etc (10mil usd) for the stadiums above..@ stadium may need 2 training grounds making a total of 10 grounds for football and 20 for indoor stadiums

Academy for Soccer, Basketball, Volley ball , Netball , indoor games like chess + equipments + hostels ..every region in Tz needs one so roughly is around 40 in number (40mil usd )

Train coaches.Makocha kumi kwa kila academy means 400 coaches ..should not exceed 1 mil usd coaches will oversee sports and regional games at schools and pick students who excel in games and train them kwenye academies of their respective regions


Expo centre/Exhibition (15k capacity)and New Conference centre (5000 capacity) (150mil usd ) ili uweze ku host big events like expos , music events etc

Might have exaggerated price but i think its fair deal

hawa viongozi hawajali kaka kuhusu michezo afu ndo haohao wamesababisha wahirishe game ya simba na yanga.. bei ya dreamliners mbili tu zinatosha kutuwezesha kuwa na viwanja vya kisasa kama tano hiv
 
Back
Top Bottom