Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ulikuwa unataka tusikie tu hiyo sauti yako ya chura na hasira zako ama? Hiyo video yako haionyeshi chochote. Nasikia tu sauti ya vilaza wawili na neno ushuzi likitemwa kama pilipili
 
Nenda Uhuru Park kwenye free WIFI. Huwezi kuona maana internet yako ni weak. Hiyo ni HD huwezi ukaona kwenye net ya kukwama kwama.
 
Hii mboba hupost unachagua sehemi moja moja tu ndio unapost hata umabali wa picha ni tofaut๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

Hasira hizi๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚, kenyans live in your head rent free. Utapata tabu sana wewe.
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ nilijua lazima uhare haya fananisha na makuru kayaba sasa tuone
 
Nenda Uhuru Park kwenye free WIFI. Huwezi kuona maana internet yako ni weak. Hiyo ni HD huwezi ukaona kwenye net ya kukwama kwama.
Halafu hayo maneno yao nimesikiaje kama sijawatch hiyo 'video'? Na nikajuaje ni vilaza wawili wanaongea?
 
Nakumbuka nusu ngumi zitokee. Wakaanza kuwa kama wanamtenga fulani hivi.
๐Ÿ˜๐Ÿ˜€๐Ÿคฃ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ