The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,667
- 99,002
40% iko wapi hapa, hivi mbn tunabishana upuuzi, yn huoni aibu kubishana kwamba Kenya ina mafukara wengi kuliko Tz?Wewe na hao wenzako hamna tofauti - wote vilaza tu. Piga hesabu upate 40% ya wakenya ni watu wa ngapi kisha linganisha na 28 million people in Tanzania ambao wameshadhibitishwa kuishi under extreme poverty. Na kumbuka yenu ni extreme poverty
Asante kwa historySo we are leading with 20 million people wakati nyinyi mko na 28 people as at October 2020? π π π Nilishakuambia kutoelewa kwako kiingereza sio kosa letu.
Excuses galore. Hata percentage-wise bado mnatushinda kwa umasikini bongolala. Hiyo 28 million represents about 46.6% of your population. Sisi tuko at 40%. Si mkubali tu yaishe? Hatutawachapa!Sisi tuko wangapi in total zen linganisha na nyie mko wangapi alafu utapata jibu nani anaongoza [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
40% ya wakenya 52 million ni watu wangapi?
Acha tu nikupuuze kwa sasaKwahiyo cbd huioni au [emoji1787][emoji1787][emAcha oji1787][emoji1787][emoji1787]
70% of Nairobians ni slum dwellersExcuses galore. Hata percentage-wise bado mnatushinda kwa umasikini bongolala. Hiyo 28 million represents about 46.6% of your population. Sisi tuko at 40%. Si mkubali tu yaishe? Hatutawachapa!
Hawa watu wapumbavu sana, halafu WB walitoa report hiyo ili kuchafua reputation ya Magufuli sababu alikua anawananga sanaSisi tuko wangapi in total zen linganisha na nyie mko wangapi alafu utapata jibu nani anaongoza [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Umeamua kufuta machozi na blogs! Is that World Bank or IMF?Hapa vp [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1784541
π π π πHawa watu wapumbavu sana, halafu WB walitoa report hiyo ili kuchafua reputation ya Magufuli sababu alikua anawananga sana
Asas nayo fresh?Maziwa kule kwao kila kampuni mwisho jina fresh[emoji23][emoji23]yani maskini akipata
Ninyi ni mafukara yalioshindikana wala hamjaonewaπ π π π
Ndio maana mnaitwa bongolala. Na sisi hiyo yetu WB walitoa kuchafua reputation ya nani?
Inamaana hii taarifa aliyoleta pumba mwenzako huoni mahali imeandikwa 40% in that yellow highlited part?40% iko wapi hapa, hivi mbn tunabishana upuuzi, yn huoni aibu kubishana kwamba Kenya ina mafukara wengi kuliko Tz?
Hutaki au? mkenya haitakaa itokee awe na maisha mazuri kuliko mTz, never na co Mkenya tu East and Central Africa plus many countries in the world[emoji1787][emoji1787][emoji117][emoji117][emoji90][emoji90][emoji205][emoji205]Umeamua kufuta machozi na blogs! Is that World Bank or IMF?
You are so desperate kijana
Ni 50% ya Wakenya ni mafukara hiyo 40% ni unmployed Kenyans.Inamaana hii taarifa aliyoleta pumba mwenzako huoni mahali imeandikwa 40% in that yellow highlited part?
View attachment 1784563
Mbona nyinyi wabishi hivi?
More than 40% we kichaaInamaana hii taarifa aliyoleta pumba mwenzako huoni mahali imeandikwa 40% in that yellow highlited part?
View attachment 1784563
Mbona nyinyi wabishi hivi?
Ata munyambe muhare, Michele mulie, mkubali mkatae, mruke juu na kushuka chini, mnarudi pale pale.,Hapa vp [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1784541
Unaweza piga kelele hadi ulie machozi ya damu but it won't change any fact. Facts are screaming bongolala and there's absolutely nothing you can do about them. And these are the fact'sHutaki au? mkenya haitakaa itokee awe na maisha mazuri kuliko mTz, never na co Mkenya tu East and Central Africa plus many countries in the world[emoji1787][emoji1787][emoji117][emoji117][emoji90][emoji90][emoji205][emoji205]
Ata munyambe muhare, Michele mulie, mkubali mkatae, mruke juu na kushuka chini, mnarudi pale pale.,
Poverty Kings of EAC., bingwa alie kosa mpinzani miaka nenda miaka rudi.,π ππππ ., Propaganda haitobadilisha ukweli, usisahau tuliingia lower middle income 2014, so below poverty rate sio $1.9 ni $3., extreme yenyu inapimwa na 0.9$., πππ π π.,
Mmekomaa aiseh.,
View attachment 1784567
Afadhali muendelee kujiliwaza na vipicha vya Dar., hapa mtaumbuka tu hadi basiππ ππ.,
View attachment 1784567
Sasa hvzi hasira zitasaidia nn πππ kisa mumeumbuka πππππUnaweza piga kelele hadi ulie machozi ya damu but it won't change any fact. Facts are screaming bongolala and there's absolutely nothing you can do about them. And these are the fact'sView attachment 1784568
1+1+1 (zote sehemu moja)
ichoboy01 anaelewa [emoji23][emoji23][emoji23]