Mbona slums ziko nyingi sana lakini chakushangaa sioni ukizitaja au nikuleter list hapa 🤣🤣🤣🤣👇👇👇👇Sasa huyo mzungu wako aambiwe saa hii achague sehemu ya kuishi kati ya Tandika middle income estate na Ruai 'slum' unafikiri atachagua wapi kati ya hizi sehemu mbili?
Tandika middle income estate
View attachment 1782153
Ruai 'slum'
View attachment 1782154
Tofauti ni kama ardhi na mbingu
Ww unaeza fananisha tandika na kariobangi ???? Umeona tofaut kwann slum hakuna tanzania na hutakaa kuziskia mpaka dunia inasmama🤣🤣🤣🤣🤣🤣 unaeza fananisha tandale na mathare ???? Mzungu sio mpumbavu kama ww boga kila siku nakwambiaSasa huyo mzungu wako aambiwe saa hii achague sehemu ya kuishi kati ya Tandika middle income estate na Ruai 'slum' unafikiri atachagua wapi kati ya hizi sehemu mbili?
Tandika middle income estate
View attachment 1782153
Ruai 'slum'
View attachment 1782154
Tofauti ni kama ardhi na mbingu
Mwambie dada yako aniulize hilo swali alaf nitamjibu wala usipate shida 🤣🤣🤣niliskia kua unajua kenya hadi chupi zao..hebu nieleze apo ni eneo gani?na ni stage za matatu za kuenda wapi?
Nitatafuta ile ujinga yako nipige screenshot nilete hapa watanzania wenzako waone jinsi IT expert wao ni pumbaJifunze kutawadha kwanza.
Mzee hiyo hisibati ni yako na mama Ngina. Sisi tunafanya hisabati mwanangu.
Unajua Calculus wewe!?
Jifunze kutawadha kwanza Mzee.Nitatafuta ile ujinga yako nipige screenshot nilete hapa watanzania wenzako waone jinsi IT expert wao ni pumba
Wewe njoo leo tumalizane watchmanNitatafuta ile ujinga yako nipige screenshot nilete hapa watanzania wenzako waone jinsi IT expert wao ni pumba
Mseven ni Raisi Wa kudumu Uganda [emoji28][emoji28]
Na kuiogoza uganda is not a joke 😀😀Mseven ni Raisi Wa kudumu Uganda [emoji28][emoji28]
Dadangu yuaitwa The best 007 muulize basi😁Mwambie dada yako aniulize hilo swali alaf nitamjibu wala usipate shida 🤣🤣🤣
Let me tell you a country like Tunisia,Israel,Morocco is Small countries be but TZ hamtowai wafikia na Ulazy wenu,Sasa Mkijilinganisha na Kenya mmepotea kwanza ipiteni Angola ama Ndio muanze kujigamba,Wacheni maringo ya peni mbili,TZ is Slum😢🤣🤣🤣🤣🤣Kwahio mama ngina ndio aliwatia ujinga huo hvi wewe kama kenya ina average ya 40% unemployment rate unategemea middle class gani hao, hzo estate mostly ni investors za mtu mmoja mmoja wakiwemo politicians na wajanja baadhi, leo utaniambia unashindana na tanzania kwenye middle class economy wakat mtanzania kazi anayo opportunities zipo, social services bei nafuu ardhi bei nafuuu na vifaa vya kujenga nyumba bei nafuu east africa yote 😀😀 sasa leo hata tukiangalia umiliki wa ardhi hapo nairobi ni wachache sana na wengi wamuna ndoto ya maisha wala ya kumiliki ardhi kazi iliobakia ni kusongamana kwenye slums over 70%🤣🤣🤣🤣🤣 na kama unabisha sema
Huyu najua ni mumeo na ushahidi alishanionesha 🤣🤣🤣🤣Dadangu yuaitwa The best 007 muulize basi😁
Huyo ni dadangu kabisa bwanake ni Teargass 😂😂Huyu najua ni mumeo na ushahidi alishanionesha 🤣🤣🤣🤣
Nani alikwambia tanzania ina muda kujilinganisha na failed state sisi hatuna slum mzee hatuwezi fanana mpaka dunia itasimama🤣🤣🤣🤣 sasa pambaneni kwanza na maisha manake ajira zenyewe hamuna maisha magumu vitu bei ghali sijui munajifananisha na nani labda mujifananishe na zimbabwe manake muliekwa kundi moja na world bank🤣🤣🤣👇👇👇Let me tell you a country like Tunisia,Israel,Morocco is Small countries be but TZ hamtowai wafikia na Ulazy wenu,Sasa Mkijilinganisha na Kenya mmepotea kwanza ipiteni Angola ama Ndio muanze kujigamba,Wacheni maringo ya peni mbili,TZ is Slum😢🤣🤣🤣🤣🤣
Kumbe uliiona! Jamaa msomi mtoto wa bongo alijiaibisha mbele ya umma. Yani nilicheka sana ile hesabu yake. Na vile alikuwa serious hadi anajiita IT expert 🤣 🤣 🤣 🤣Nilimcheki kwa ule uzi wa avocado, kwao ndo amesoma sana😁
Wewe ukija kisumu lazima utaolewa sababu unazijua vizuri ama nizitaje😂😂Teargass mbona ni demu mmoja nilipokua kisumu aliomba tuonane 🤣🤣🤣
Kwanzia siku hiyo nilimdharau sana yani😀Kumbe uliiona! Jamaa msomi mtoto wa bongo alijiaibisha mbele ya umma. Yani nilicheka sana ile hesabu yake. Na vile alikuwa serious hadi anajiita IT expert 🤣 🤣 🤣 🤣
Nilishakuambia mwenye tulikuwa tunajadiliana naye kuhusu hili alishashindwa akaachana nayo. Sasa wewe unakuja hapa mara ferry mara ikulu mara samaki mara cbd. Nairobi kuna ferry? Na ni nani alikuambia ikulu yetu iko karibu na cbd? Huna hoja wala jibu kaka nyamazaNa huyu anaskuma nini CBD🤣🤣👇👇👇 na kama anapeleka maji ferry kwenye soko la samaki utasemaje?? Kwasababu soko la samaki lipo CBd near ikulu View attachment 1782210