Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mmmh bas kwa hali hii uko kwao gas ghali sana na hakuna maskini anaweza kununua gas .. hapa getto kwangu natumia mtungi wa gas Orix 15 kg .. na bei yake kujaza ni 45k t sh .. uko kwao hawa jamaa ni hatari itakua ndio gas ni ghali dunia nzima
Mna gesi na bado mna refill ghali hvo[emoji23][emoji23]
Tsh45k mbona bei kubwa sana kw watu km nyie..
Hyo ni ksh2000 na kitu aisee..
Na ukumbuke gesi zipo kampuni tofauti tofauti, sasa mwenzako analeta k-gas na total gas hzo ni ghali na sidhani km kuna mtu wa kipato cha chini anayejielewa atanunua k-gas au total gas..
 
Unawazimu wa kichwa wewe 45000ts ni sawa 2100ksh na hio mtungi wa kg 15 mpaka 16.8 kwenu nyinyi mtungi wa kg 13 ni 2800ksh je ingekua 16kg si mungeambiwa 3400ksh akili kichwani mwako🀣🀣🀣🀣
 
Hebu angalieni hchi kidaraja ndio njia kuu inaonganisha counties mbili alaf walitegemea nn πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
 

Vijisababu hamukusangi. Unafikiri hatuwaju? I have seen so many drone videos za Dar on YouTube sasa sijui wewe unaongea nini. And secondly, who told you that you need drone videos to capture gated communities? Kwani hizi za Nairobi zenye tunapost humu ni za drones? Narudia tena kwamba kwenye sector ya makaazi Dar haina usemi wowote mbele ya Nairobi. I have watched so many drone videos za Dar as well as Google earth images so I know what I am saying. Huko ni dreamhouses kushoto kulia save for a few organized areas
 
Tuletee za bei rahisi basi tucheke 🀣🀣🀣
 
Unawazimu wa kichwa wewe 45000ts ni sawa 2100ksh na hio mtungi wa kg 15 mpaka 16.8 kwenu nyinyi mtungi wa kg 13 ni 2800ksh je ingekua 16kg si mungeambiwa 3400ksh akili kichwani mwako[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
View attachment 1781735
Hehehe!!13kg zipo kampuni za gesi kenya wanalipisha chini ya hapo[emoji23][emoji23]
Ndio mana nikasema mnapigwa wakati gesi mnayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…