Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwani kila mwenye gari anauwezo ??? Wangap gari zinawatokea kamasini ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ tatizo linabaki unamsaidiaje mtu wa chini
Sijawahi skia mwenye ako na gari analala njaa,,mtu wa chini pia ataitumia Expressway akibebwa na matatu,,no traffic jam again,,it will be history kwa expressway
Nyweeeeeeeeeeee๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
๐Ÿ˜œ๐Ÿ˜œ๐Ÿ˜œ๐Ÿคธ๐Ÿคธ
 
Kwani petroli ikipanda wanaolalamika ni kina nani??? Si hao hao wenye magari au??๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ na hapo mutakutana na pain kwenye toll za mchina na bahat nzuri hakuna huduma ya sh 1 au 10 hapo ni mwendo 1750ksh alaf tuone vile mchina atakavowanyea kichwani
 
Mbona petroli ikipanda kidogo wanafungua kende zao kwanini???๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ do u think mchina mjinga kama nyinyi maboga
 
Na matatu itapita bure ama ???๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ Mchina ni mtu hatari sana
 
Na matatu itapita bure ama ???๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ Mchina ni mtu hatari sana
Walisema kutakuwa na Barabara za Brt kwenye express way tusubir tuone finishing yake๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ