Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hapa vp umelidhika?[emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa vp safii au niongeze sauti [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We unaijua ksh1t au nikuokoteza tu data na kuleta km kawaida..
Mtanzania gani huyo ambae ana worth ksh 1t
Basi wacha iyo report, pambana na hii [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji117][emoji1139][emoji117][emoji3545][emoji2781][emoji117][emoji205][emoji529][emoji86][emoji85][emoji1664][emoji90][emoji87]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Heri hao wanapigania chakula kitu mhimu kabisa katika maisha ya binadamu, je wale waliokanyagana kw ajili ya mafuta ya upako kw bwana askofu show tusemeje[emoji23][emoji23][emoji23]
Yani watanzania niliamini km
Ni matahira wa kiwango cha lami, na wale waliokanyagana katika msiba wa magu mpka wakafa[emoji23][emoji23]
Kw ajili ya mtu unakufa kizembe
 
Source by who????[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mama ngina ndio aliwaambia hvo
Mama ngina si hua anakuwasha jamani[emoji23][emoji23]au ni machungu ya marehemu ndio ukaamua umuangushie bibi ngina[emoji23][emoji23]
 
Kwahiyo watu wanaokanyagana kwa ajili ya Mungu unataka kufananisha na watu wanaokanyagana kwa ajili ya chakula, yn karne hii ya 21 bado unakanyagana kwa ajili ya msosi? Nenda Saudi Arabia kila mwaka watu wanakanyagana kwa ajili ya Allah na co chakula km nyie wakenya, yn Kenya ni Afghanistan iliyochangamka [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…