Utasubiri miaka 100 mzeeπ€£π€£πππKatoroka πππππ vipi kariakoo huitaki tena. Just imagine the top estate in lazyland is just a noisy open air flea market,,,πππππView attachment 1777711View attachment 1777707
Tupe value ya kampuni zenu[emoji23][emoji23]Wewe uanzishe biashara wewe!!??[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Au ndio zile 500 companies only $1.7bn, c mambo ya kihuni haya [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Watanzania hawaishi ndani ya mabweini, mabweni yenyewe yanasemaje kwn hapo magomeniSio ndio tumepata sasa bali tulikuwa juu tangu uhuru zen nyie ndio mkafuata, cc ni wakubwa kuliko nyie.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kariakoo ni ya wahindi banaHuyo keshavamia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Wee kijana acha kuongea sana, , kama nyie ni matajiri mbona huko kwenu hakuna dollar billionaires na TZ wapo na pia dollar millionaires wako wengi TZ kuliko KE??Tupe value ya kampuni zenu[emoji23][emoji23]
Tuki break kw haraka haraka kila kampuni ina worth $3m kibongo bongo hzo ni bilioni kadhaa..
Sasa na wewe break hivi hvi kati yale makampuni yenu thelathini tuone km mtawezanaView attachment 1778035
Wekezeni basi tuwaone[emoji23]Wee kijana acha kuongea sana, , kama nyie ni matajiri mbona huko kwenu hakuna dollar billionaires na TZ wapo na pia dollar millionaires wako wengi TZ kuliko KE??
Coco reborn Nicxie Teargass jamaa kaleta masaki njoni[emoji23][emoji23]Kama hzi unatakaView attachment 1778027View attachment 1778028
Hyo reli iko wapi kufikia hivi sasa, au nayo mtakenga mwakaniUnachekesha sana, hujui tu. Double stack ya nini kwenye section inabeba treni ya abiria pekee! Reli ya kutoka bandarini ambayo itabeba hizo double stack containers inajiunga kule mwanzoni mwa viaduct.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha, we mrembo kweli unafurahisha, kwa kifupi huko kwenu hakuna watu wenye pesa aa individuals zaidi ya wananzengo wengi kuchangisha mtaji... this ironic kw nchi yenye ku jibrand as the most capitalist in the region... Poleni sana, kipigo kinakuja taratibu... kwa vijana tayari akina Ali Kiba, Diamond na Wema Sepetu wameshamaliza kipigo, Imebaki kwa wazee wawili watatu basi tu...Wekezeni basi tuwaone[emoji23]
Alafu swali langu mbona umelikwepa mrembo
Inawezekana anao bt hilo gari hajanunua kwa pesa yake and thus why kwa mdomo wake mwenyewe kasema kwa niaba ya serikali leo tunampatia benzi la chini ambalo litampa raha kwenye safari zake sasa km ww unaona hio ni kauli ya kulinunua binafsi au benzi alilopatiwa ni ka saloon tu then its okay...Tunatofautia uelewa and i respect that.
Nairobi hakuna?Kuna picha fulani niliona hadi miwa inauzwa pale posta cbd! As if that's not enough, vibanda za mama ntilie pia zipo pale pale posta karibu na lile jumba la TPA Tower π π
Not according to the latest Knight Frank report.Wee kijana acha kuongea sana, , kama nyie ni matajiri mbona huko kwenu hakuna dollar billionaires na TZ wapo na pia dollar millionaires wako wengi TZ kuliko KE??
Mbona mzee baba hueleweki, yani naona nkm unajiropokea tuHahaha, we mrembo kweli unafurahisha, kwa kifupi huko kwenu hakuna watu wenye pesa aa individuals zaidi ya wananzengo wengi kuchangisha mtaji... this ironic kw nchi yenye ku jibrand as the most capitalist in the region... Poleni sana, kipigo kinakuja taratibu... kwa vijana tayari akina Ali Kiba, Diamond na Wema Sepetu wameshamaliza kipigo, Imebaki kwa wazee wawili watatu basi tu...
Jamaa nimemwelewa....misuse of puplic funds....mzee amepungukiwa nini hapo alipo?....hatuwezo kuishi maisha ya kuigiza...bado hatujafika....watu wetu ni maskini sana....gvnt must allocate public resource wiselyKweli mzee ili swala la kumnunulia raisi gari halijakaa sawa ila tumpe maza mda kidogo
Mzee nakubaliana nawe.....sema ndo hivyo we are not equally think the same but it's enough to have one goal and ideology...Inawezekana anao bt hilo gari hajanunua kwa pesa yake and thus why kwa mdomo wake mwenyewe kasema kwa niaba ya serikali leo tunampatia benzi la chini ambalo litampa raha kwenye safari zake sasa km ww unaona hio ni kauli ya kulinunua binafsi au benzi alilopatiwa ni ka saloon tu then its okay...Tunatofautia uelewa and i respect that.
Hata lile swala la kuwajengea marais wastaafu nyumbaa halijakaa sawa kabisa hapa jpm kidogo naye aliyumbaJamaa nimemwelewa....misuse of puplic funds....mzee amepungukiwa nini hapo alipo?....hatuwezo kuishi maisha ya kuigiza...bado hatujafika....watu wetu ni maskini sana....gvnt must allocate public resource wisely