The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,667
- 99,002
Mada ilianzia hapa [emoji3516][emoji3516]S70k hapo nilipunguza tu,ilala nyumba zinauzwa zaidi ya pesa hiyo,na wanaonunua hapo wananunua kiwanja kwani wanavunja hizo nyumba na kujenga ghorofa,na kuhusu muonekano wa roof usikutishe,hapo ni mitaa ya kueleweka dada
Sasa wewe ukaanza kutaja ubungo, so Ubungo ipo ilala?Wapi mahali nimetaja Ubungo hapo? Mbona unatapatapa?
Samaki wabichi wanauzwa dar CBD, kwanuka uvundo mbaya😷😷New York of Africa inachemsha sehemu nyingi aiseh! 😂 😂 😂
Yani planning ni zero right from the city center to residential areas!
Aliyepost huyu hapa [emoji116][emoji116] malizana nae.Nimwambie nini na ni wewe umepost hiyo picha ukidhani ni ya Kenya?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwahio kariakoo level yake ni hapo[emoji23][emoji23][emoji23] ujumbe umeupataView attachment 1777730
Hes trying to divert your attention, ignore him.Wapi mahali nimetaja Ubungo hapo? Mbona unatapatapa?
Hebu fananisha na hili [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Samaki wabichi wanauzwa dar CBD, kwanuka uvundo mbaya[emoji40][emoji40]View attachment 1777779View attachment 1777780
Sisi huku wanatumia polisi hizo [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ni mtanganyika mwenzako ndio alitaja Ilala baada ya kukosa majibu kuhusu mjadala wa vibanda zilizopi kando ya Ubungo flyover. It was just his clever way of evading the topic of discussion. Jaribu kufuatilia discussionKwahiyo hizo za ubungo zipo ilala [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Aliyekuingiza mkenge ni mkunya mwenzako ambaye kazi yake huwa ni kuvamia comment za watu bila kuelewa [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
We mwehu tu unaniletea wivu wako wa Ubungo interchange mimi, km 3level hakuna kwenu pita mbali.Ni mtanganyika mwenzako ndio alitaja Ilala baada ya kukosa majibu kuhusu mjadala wa vibanda zilizopi kando ya Ubungo flyover. It was just his clever way of evading the topic of discussion. Jaribu kufuatilia discussion
Wow! So impressive. Wenzetu hawajui kwamba hizi ni mambo za kawaida sana Nairobi coz ziko kila mahali. Sio kama kule kwao jiji la midrdamhouses
Itakuaje kwetu wakati definition ya three-level interchange yenyewe hujui?We mwehu tu unaniletea wivu wako wa Ubungo interchange mimi, km 3level hakuna kwenu pita mbali.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna picha fulani niliona hadi miwa inauzwa pale posta cbd! As if that's not enough, vibanda za mama ntilie pia zipo pale pale posta karibu na lile jumba la TPA Tower 😂 😂Samaki wabichi wanauzwa dar CBD, kwanuka uvundo mbaya😷😷View attachment 1777779View attachment 1777780
That's what he's doing. I noticed it tooHes trying to divert your attention, ignore him.
Huyo jamaa ndo alivyo, yuko desparate, akileta utoto just ignore himItakuaje kwetu wakati definition ya three-level interchange yenyewe hujui?
Wewe nilishakuambia ni mjinga wa kupuuzwa tu. Kwa jinsi unavyorukaruka!
One and only three level interchange in East Africa [emoji4][emoji4][emoji4]We mwehu tu unaniletea wivu wako wa Ubungo interchange mimi, km 3level hakuna kwenu pita mbali.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huo ukweli ndo hawautaki sasa [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]One and only three level interchange in East Africa [emoji4][emoji4][emoji4]
Inapatikana Tanzania pekee.
Naona serikali imeanza kutoa zawadi za bethidei...hii inatoka fungu gani ktk bajeti?