The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,667
- 98,999
Kwahiyo unataka kunambia hulijui eneo lenye ghorofa nyingi EA etii wacha izo bwana watchman nicxie bhn onaa[emoji205][emoji205]Alafu anafikiri watu ni wajinga. Anasema eti watu wamenunua hizo nyumba, wakazibomoa na kujenga maghorofa. Hayo maghorofa yako wapi kwenye hilo eneo? Ama ziko tu kwa akili yake? [emoji23] [emoji23]
Just imagine hapo kariakoo ndo waarabu na wahindi wenye pesa dar wanaishi😁😁😁 hio ukiileta Kenya levels ni hizi😂😂Kwahiyo unataka kunambia hulijui eneo lenye ghorofa nyingi EA etii wacha izo bwana watchman nicxie bhn onaa
View attachment 1777529
Sent using Jamii Forums mobile app
Utaumia sana [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Just imagine hapo kariakoo ndo waarabu na wahindi wenye pesa dar wanaishi[emoji16][emoji16][emoji16] hio ukiileta Kenya levels ni hizi[emoji23][emoji23]View attachment 1777547
Kilaza, tunaongelea maeneo yanayozunguka Ubungo flyover. Hapo ni ubungo?Kwahiyo unataka kunambia hulijui eneo lenye ghorofa nyingi EA etii wacha izo bwana watchman nicxie bhn onaa[emoji205][emoji205]
[emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1777529
Sent using Jamii Forums mobile app
We tafuta kazi ufanye bana, kw ubishi wako kijinga huu unafikiria nani atakusikiza
Huku ndo mamako anaenda kuwafulia wahindi nguo😁😁Utaumia sana [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1777597
Sent using Jamii Forums mobile app
For the second time bongolala, mjadala ilikuwa inahusu eneo la Ubungo flyover. Kwa jinsi ulivyo kilaza umekimbia hadi Kariakor kuleta picha angalau upate afueni!Si ndiyo hapa kkoo watu wananunua kwa mabilioni wanabomoa zen wanajenga km hivi kwn we hupajui kkoo wewe au sifa tu[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116]View attachment 1777525View attachment 1777526
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo kkoo imekuwa residential area na hapa wanaishi kina nani [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Just imagine hapo kariakoo ndo waarabu na wahindi wenye pesa dar wanaishi[emoji16][emoji16][emoji16] hio ukiileta Kenya levels ni hizi[emoji23][emoji23]View attachment 1777547
Mm na ww nani kilaza [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kilaza, tunaongelea maeneo yanayozunguka Ubungo flyover. Hapo ni ubungo?
Secondly, nilishakuambia Nairobi nzima ni apartments. Sasa huna hata aibu kwamba the only place unaezapata density ya apartments ni Kariakor which is part if your cbd? Maghorofa kama hayo sisi tuko nazo nje ya cbd!
Alafu anafikiri watu ni wajinga. Anasema eti watu wamenunua hizo nyumba, wakazibomoa na kujenga maghorofa. Hayo maghorofa yako wapi kwenye hilo eneo? Ama ziko tu kwa akili yake? [emoji23] [emoji23]
Inferiority complex ndio huwasumbua. Twende tu nao taratibu,tushawaelewaHawa watu ni wa kushangaza. Tukiwa nacho, nikibaya. Wakikipata, kinakuwa kizuri. 🤣 🤣 🤣 🤣
Mnaiogopa sn kkoo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Inferiority complex ndio huwasumbua. Twende tu nao taratibu,tushawaelewa
Ushapanic unaanza matusi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Huku ndo mamako anaenda kuwafulia wahindi nguo[emoji16][emoji16]
Hzo sehemu zenyewe nazo zinasemaje?Wewe bwege mimi nina kazi na nina sehemu zingine kuingizia kipato ambazo hata wewe naweza kukuajiri nyambafu
Kariakoo panaishi watu acha kutudanganya hapaKwahiyo kkoo imekuwa residential area na hapa wanaishi kina nani [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1777607View attachment 1777608View attachment 1777610View attachment 1777613View attachment 1777615
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo Ubungo flyover ndo ilala [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwa hivyo Kariakor inaingiliaje mjadala kuhusu Ilala?
Waelewe, si ndio wamepata sasa, naskia hko watu hawana haja ya kuishi kwnye mabweni manake kila mtu ekari kumi za ardhiHawa watu ni wa kushangaza. Tukiwa nacho, nikibaya. Wakikipata, kinakuwa kizuri. [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]